Haka kadada kamarekani keusi nimekapenda. Videmu vya hivi vinakuwaga na nyota kali sana ukiwa nako

Haka kadada kamarekani keusi nimekapenda. Videmu vya hivi vinakuwaga na nyota kali sana ukiwa nako

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Tazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu huwaga natafuta mademu kama hawa. Napenda hizo gestures zake. Siku nikipata nafasi nitakuja ku explain the meaning and interpretation of her facial expression and gestures in this video ili ujue what am I talking about..



View: https://www.youtube.com/watch?v=hFkHHK6G148
 
Back
Top Bottom