Haka 'Kakirusi' naona kameshaanza kukubalika ndani ya Watanzania wengi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM.

2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM.

3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka.

4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena kwa msisitizo TISS au Usalama wa Taifa) ni lazima uwe ama ni mwana CCM au umetokea UVCCM.

5. Ukitaka ufanye Biashara kwa Amani na Uhuru hata kama ni ya Magendo ukiwa au ukijinasibu Wewe ni mwana CCM jua hutobughudhiwa na Utatajirika sana.

6. Mkiwa katika Kikundi na mnataka Mkopo wa Haraka (Fasta Fasta) katika Taasisi za Serikali mkiwa tu na Kimemo kutoka kwa Kiongozi wa CCM jueni Kesho yake tu mnaupata.

7. Ikitokea umeanzisha Mradi wako (mfano Karakana au Gereji) katika Eneo lisiloruhusiwa la ama LATRA au TANROADS ukiweka ( ukiipandisha ) tu Bendera ya CCM kamwe hamtosumbuliwa hata kama pia huwa mnazalisha Takataka zinazonuka.

CCM endeleeni tu Kufurahi na Kulikumbatia hili Bomu ambalo najua likija Kulipuka hamtoamini na nadhani hata na Mwenyezi Mungu nae hatokuwa upande wenu badala yake ataruhusu Watanzania wazaliwe upya Kisiasa huku nyie Mkizikwa mazima (daima na milele)

Tanzania ni ya Wote na Tanzania siyo ya CCM na wala CCM si Mali ya Watanzania hivyo hii Dhambi ya Kulazimisha kila Kitu kiwe na Baraka za CCM nawahakikishia ipo Siku isiyo na Jina hata kama Wengine tutakuwa hatupo itakuja Kuwatesa na Kuwagharimu.
 
Ni kweli binafsi nna kijana wangu yupo chuo nimemuambia ajiunge na uvccm.
 
Kama ndo utaratibu haina shida..tafuta kadi tu..kula CCM moyo wako weka kwingine unakopapenda
 
1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM.

2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM.

3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka.

4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena kwa msisitizo TISS au Usalama wa Taifa) ni lazima uwe ama ni mwana CCM au umetokea UVCCM.

5. Ukitaka ufanye Biashara kwa Amani na Uhuru hata kama ni ya Magendo ukiwa au ukijinasibu Wewe ni mwana CCM jua hutobughudhiwa na Utatajirika sana.

6. Mkiwa katika Kikundi na mnataka Mkopo wa Haraka (Fasta Fasta) katika Taasisi za Serikali mkiwa tu na Kimemo kutoka kwa Kiongozi wa CCM jueni Kesho yake tu mnaupata.

7. Ikitokea umeanzisha Mradi wako (mfano Karakana au Gereji) katika Eneo lisiloruhusiwa la ama LATRA au TANROADS ukiweka ( ukiipandisha ) tu Bendera ya CCM kamwe hamtosumbuliwa hata kama pia huwa mnazalisha Takataka zinazonuka.

CCM endeleeni tu Kufurahi na Kulikumbatia hili Bomu ambalo najua likija Kulipuka hamtoamini na nadhani hata na Mwenyezi Mungu nae hatokuwa upande wenu badala yake ataruhusu Watanzania wazaliwe upya Kisiasa huku nyie Mkizikwa mazima (daima na milele)

Tanzania ni ya Wote na Tanzania siyo ya CCM na wala CCM si Mali ya Watanzania hivyo hii Dhambi ya Kulazimisha kila Kitu kiwe na Baraka za CCM nawahakikishia ipo Siku isiyo na Jina hata kama Wengine tutakuwa hatupo itakuja Kuwatesa na Kuwagharimu.
Kama tumefika hapa ni hatari
 
Wezi,majambazi,waoga,walevu,mafisadi,wazinzi,vilaza na watu wa aina hiyo ndio wamejazana ccm.
 
Naona tunavyoendelea kupotea kama nchi. Matokeo yake tunaongizwa na Mbumbumbu Kwa kivuli cha uCCM.
 
Wezi,majambazi,waoga,walevu,mafisadi,wazinzi,vilaza na watu wa aina hiyo ndio wamejazana ccm.
Kwa hiki Ulichokiandika na ambacho nakubaliana nacho kwa 100% unastahili upewe Honorary Doctorate ( PhD ) yako Ndugu. Umemaliza kila Kitu Heko.
 
Back
Top Bottom