Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo.

Tanzania bila ukimwi inawezekana?
 
Hii mbinu ni nzuri arifu, yaani unakula bure kabisa..
 

c ndio hapo mi nlikua nashangaa customer care gan ambao wanakua active kias hcho ucku.mchana wenyew unapiga mpaka unakoma.
 
Na huyo dada anatakiwa akishaipokea hiyo hela na yeye hapo hapo anaiamishia kwenye namba nyingine hapo hapo au ana-cash kabisa muda huo huo

akihamisha wana itrace pia.labda aitoe fasta
 
Hao wanawake inabidi wadai cash mkononi sasa.
 

...aaaa, wapi bana....akili ya mwanaume majigambo meeengi, kama wewe na hii article yako.
wewe waweza dhani umempata huyo mluga luga mmoja. Women dont brag these stuff...wao wanachuna tu!
 
Kwakweli wanadamu tuna mambo. . . . Wakati wengine 'wanainunua' kwa pesa nyingi na maujanja nina anko wangu huwa anauliza 'unataka' kila saa kwani imekuwa chakula hiyo?
 
wewe mbona huo mchezo watoto wa mjini tunaujua ukitumiwa tu unaforward kwenye line yako nyingine hajafika chooni zamani iko kwenye line yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…