Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
THANKS BOSS............. na kwa starehe ipi??? ya dk 5 na majasho na magonjwa na fadhaa??
bravo.....umesahau pamoja na harufu mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
THANKS BOSS............. na kwa starehe ipi??? ya dk 5 na majasho na magonjwa na fadhaa??
Weeee !! Dont try this @ home kwa customer care gani hapa ya kucheza na shilingi chooni kiasi hicho?! Labda uwe na kahaba mwenzako pale customer care/call centre ambae anajua ABC ya mchezo wako kiasi kwamba ukisha-risk tu huo mkwanja unampigia kwenye namba yake ya kiganjani halafu ana-reverse on the spot, otherwise, hadi simu yako inakuja kupokelewa tayari utakuwa ushaliwa .labda kama umezoea kufupia! "V" anahitaji huduma zako .!!!
Na huyo dada anatakiwa akishaipokea hiyo hela na yeye hapo hapo anaiamishia kwenye namba nyingine hapo hapo au ana-cash kabisa muda huo huo
Hao wanawake inabidi wadai cash mkononi sasa.
Wana JF siku zote wanaume ni wabunifu sana. Siku hizi wanaume wanaopenda kuchukua wale wanawake ambao wanakuwa na makubaliano ya wakishamaliza majamboozi wanawalipa, sasa kinachofanyika mwanaume anamchukua mwanamke na kuanza kumpa kinywaji si unajua tena mambo yetu yale, sasa mambo yakishaanza kukolea anamtumia pesa 50,000/= au 100'000/= kwa njia ya m-pesa au tigo pesa pale pale walipo na sms inajibu pale pale kwamba mshiko umeingia na wakimaliza majamboozi atakwenda kuchukuwa atakakokwenda. Sasa mwanaume atatoka kama anakwenda toilet vile kisha anapiga huduma kwa wateja na kuwaomba wamrudishie pesa yake kwani amekosea namba aliyotuma, si unajua tena na jamaa walivyo fasta wanarudisha pesa kama ilivyo na ile msg ya kwa mwanamke inabakia kama ilivyo kwamba a/c yake ina mshiko. Sasa asubuhi wakati wameshamalizana mwanamke anatoka kwenda kuchukuwa mshiko wake na anakuta a/c haisomi na alishatoa huduma kwa ujasiri mkubwa. Hapo sasa ndipo huwa tunasema kweli akili ya mwanaume mwenyezi Mungu kaijenga.mchana mwema.
ubunifu huu au upuuzimbna wabongo wabunifu?
Aisee!hzi akili tungezitumia kwa mambo ya kimaendeleo tungekua mbali sana sa hzi.