Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo.

Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo.

Hii mbinu ni nzuri arifu, yaani unakula bure kabisa..
 
Weeee……!! Don’t try this @ home…kwa customer care gani hapa ya kucheza na shilingi chooni kiasi hicho?! Labda uwe na kahaba mwenzako pale customer care/call centre ambae anajua ABC ya mchezo wako kiasi kwamba ukisha-risk tu huo mkwanja unampigia kwenye namba yake ya kiganjani halafu ana-reverse on the spot, otherwise, hadi simu yako inakuja kupokelewa tayari utakuwa ushaliwa….labda kama umezoea kufupia! "V" anahitaji huduma zako….!!!



c ndio hapo mi nlikua nashangaa customer care gan ambao wanakua active kias hcho ucku.mchana wenyew unapiga mpaka unakoma.
 
Na huyo dada anatakiwa akishaipokea hiyo hela na yeye hapo hapo anaiamishia kwenye namba nyingine hapo hapo au ana-cash kabisa muda huo huo

akihamisha wana itrace pia.labda aitoe fasta
 
Hao wanawake inabidi wadai cash mkononi sasa.
 
Wana JF siku zote wanaume ni wabunifu sana. Siku hizi wanaume wanaopenda kuchukua wale wanawake ambao wanakuwa na makubaliano ya wakishamaliza majamboozi wanawalipa, sasa kinachofanyika mwanaume anamchukua mwanamke na kuanza kumpa kinywaji si unajua tena mambo yetu yale, sasa mambo yakishaanza kukolea anamtumia pesa 50,000/= au 100'000/= kwa njia ya m-pesa au tigo pesa pale pale walipo na sms inajibu pale pale kwamba mshiko umeingia na wakimaliza majamboozi atakwenda kuchukuwa atakakokwenda. Sasa mwanaume atatoka kama anakwenda toilet vile kisha anapiga huduma kwa wateja na kuwaomba wamrudishie pesa yake kwani amekosea namba aliyotuma, si unajua tena na jamaa walivyo fasta wanarudisha pesa kama ilivyo na ile msg ya kwa mwanamke inabakia kama ilivyo kwamba a/c yake ina mshiko. Sasa asubuhi wakati wameshamalizana mwanamke anatoka kwenda kuchukuwa mshiko wake na anakuta a/c haisomi na alishatoa huduma kwa ujasiri mkubwa. Hapo sasa ndipo huwa tunasema kweli akili ya mwanaume mwenyezi Mungu kaijenga.mchana mwema.

...aaaa, wapi bana....akili ya mwanaume majigambo meeengi, kama wewe na hii article yako.
wewe waweza dhani umempata huyo mluga luga mmoja. Women dont brag these stuff...wao wanachuna tu!
 
Kwakweli wanadamu tuna mambo. . . . Wakati wengine 'wanainunua' kwa pesa nyingi na maujanja nina anko wangu huwa anauliza 'unataka' kila saa kwani imekuwa chakula hiyo?
 
wewe mbona huo mchezo watoto wa mjini tunaujua ukitumiwa tu unaforward kwenye line yako nyingine hajafika chooni zamani iko kwenye line yako
 
Back
Top Bottom