Haka kasanii kameponea chupuchupu

Haka kasanii kameponea chupuchupu

NTINGINYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2010
Posts
252
Reaction score
48
View attachment 15274Huyu msanii alikua anakuja vizuri sana katika vipindi vya ITV na baazi ya picha alizocheza japokua sinyingi lakini movi yake yamwisho niliyoiona nilimuonea huruma tayari walianza kumwelekeza katika mamboya yakumvunja heshima kusheza filam za kupotosha jamii japokuwa wengi wansema ni kwenda nawakati kwamtazamo finyu, nilianza kumuoniea huruma kwasababu wasanii wetu huwa wanaharibiwa na viongozi kutojali maadili na desturi yetu yakiafrika lakini mungu kakiokoa kupata ndoa kimetoweka kwenye biashara ya filam,
kalivutia sana kwenye vipindi vya ITV kama mnakumbuak kalishiriki tamsilia flani, nasikia kimeolewa na mume hataki usanii nimebahatika kupata picha yake mkubukeni MANKA
View attachment 15273
 
Mkuu hawa binti huwa wanapita mwingi sana mpaka huwa wanombwa hongo nahongo yenyewe ndovile siunajua mambo ya luninga kuuza nyago antadanganywa kuwa watamuwezesha kuwa kioo cha jamii wanamtumia kama tenes akimegwa na mkrugenzi badae na pormota mwisho ankuwa kwenye magazeti kashfa kilasiku nazani umeni faham
 
Ntinginya mimi nakubaliana na wewe kweli jamaa huwa wana walaghai wasanii hasa wanpochipukia na akiwa na mvuto huyu mdada ana mvuto na nimewai kuona filim yake kama skosei inaitwa mtoto wa mjini lakini alikua scrpti ya pili sins utalam na mambo ya uigizaji na ilikua ni stori ya kweli
anaejua zaidi atupe nyeti
 
mwache nae abahatike, maana kwa wanawake kuolea ni deal kubwa sana, anajikisikia yupo secure kimaisha
 
Huyo jamaa naye aache uchoyo yeye mwenyewe kakapendea humo humo kweye movie industry? Kwahiyo ni kweli kuwa wasanii wa kike wanaigiza ili kupata waume wenye nazo? Manake weng kweli wakishaolewa sokoni hawarudi tena je wanakuwa na vipaji kweli au ndo target yao waume?
 
Back
Top Bottom