sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
[emoji23][emoji23]Anaandaliwa kisaikolojia.
Its not easy like that!Aisee!
Seems Klyn anawapelekesha mdogo mdogo kwa akili tu!
Muda si mrefu atawanyoosha!
Umepanic jackine ninmuhaJambazi la taifa mliooa wachaga msijisahau wanawalia timing hao mkiingia 18 zao mmekwisha.
Naamini Mzee Mengi hatopenda mali zake ziende nje ya watoto wake,na watoto wake wadogo ni hao aliozaa na huyo dem,hao wakubwa walisharithi za mama yao na kwa umri wao walitakiwa kuwa vzr.Hata ningekuwa Mengi nisingekubali kumuachia mali mtoto asiyeendeleza line yangu.kwa wazee wa kiafrica it matters a lot.Haka kamwanamke kametumia uzuri wake kumrubuni Mzee wa watu na kutaka kujimilikisha mali ambazo kimsingi hakuzitolea jasho hata kidogo!
Hili jambo halikubaliki hata kidogo. Huu ni wizi kabisa wa mchana kweupe.
Mzee aliandika wosia Mali zake ziendeshwe na jack, ni lini tumeanza kudharau wosia wa marehemu?Haka kamwanamke kametumia uzuri wake kumrubuni Mzee wa watu na kutaka kujimilikisha mali ambazo kimsingi hakuzitolea jasho hata kidogo!
Hili jambo halikubaliki hata kidogo. Huu ni wizi kabisa wa mchana kweupe.
Unataka jasho gani ?wakati Jack ni mke halaliHaka kamwanamke kametumia uzuri wake kumrubuni Mzee wa watu na kutaka kujimilikisha mali ambazo kimsingi hakuzitolea jasho hata kidogo!
Hili jambo halikubaliki hata kidogo. Huu ni wizi kabisa wa mchana kweupe.
Angekuwa ni dada yangu ningemshauri akili sana ,huyu demu unaambiwa anamatumizi level zake ninkina mariah carey ,sasa mengi alikuwa anaendekeza anapewa 20m ya kuishi na watoto analalamika ndogo hiyo haihusu ada wala matibabu wana bima ya hata tibiwa nje na anakaa hekaru ,roho ya kujiuza huwa ni isiyotosheka na haribifuUnataka jasho gani ?wakati Jack ni mke halali
Angekuwa ni dada yangu ningemshauri akili sana ,huyu demu unaambiwa anamatumizi level zake ninkina mariah carey ,sasa mengi alikuwa anaendekeza anapewa 20m ya kuishi na watoto analalamika ndogo hiyo haihusu ada wala matibabu wana bima ya hata tibiwa nje na anakaa hekaru ,roho ya kujiuza huwa ni isiyotosheka na haribifu