Hakatwi mtu hapa: Jacqueline Mengi Mjane wa Dkt. Mengi apata Ushindi Rufaa ya Mirathi

Hakatwi mtu hapa: Jacqueline Mengi Mjane wa Dkt. Mengi apata Ushindi Rufaa ya Mirathi

Mzee alipandikiziwa Wanyarwanda muda mrefu, alipochomoka kwa madame Rita akanasa kwa Jacquline.
Wa Ngara sijui Kwanini watu wanasemaga ni Muha ! Kuna sehemu nili…. Lakin sisemi sana ye ashakuwa Mke wa mtu kuyasema si vema ila ntapenda akaribie tena RIGA…..
 
Wa Ngara sijui Kwanini watu wanasemaga ni Muha ! Kuna sehemu nili…. Lakin sisemi sana ye ashakuwa Mke wa mtu kuyasema si vema ila ntapenda akaribie tena RIGA…..
Hawa n wanyarwanda kiasili lakn maisha yao na baadh ya ndugu zao wapo kigoma na morogoro

Niliwah kufanya biashara na jamaa mmoja miaka hyo KASULU ambaye ameoa ndugu wa akina ntuyabaliwe nadhan n shangaz wa jacckkine huko kigoma
Nilipata kuwafahamu vizur
 
Alifika 40 M monthly za kupewa na dr Mengi ukiondoa school fees na mambo mengine
Jaman ndo alishindwa hata kufungua biashara bubu ya kusukuma siku, iwe km vicoba yake binafs?
 
Back
Top Bottom