Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
ThibitishaKiba ana roho mbaya,mbona hiyo inajulikana tu.(mapovu sasa)
Udhibitisho wa hapo juu haukutoshi ??Thibitisha
Hategemei mziki kuishiHuyu hakeem nae anazeeka bila kutoka kwenye game lazima apate frustration....wenzake kina kiba bluu na ndugu yake dully wamejitahidi kumbeba lkn waapi hatokagi huyu
hakimu si ndugu na dully?si amuombe kaka ake amsaidie kutoka?!!