Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu hawezi kufanya jambo hilo
Amesema yeye aliongea ukweli kuhusu Ali Kiba na ukweli sio lazima umfurahishe kila mtu.
Pia ameongezea Ali Kiba ana roho mbaya na hata kolabo alilofanya na Abby Skills ilitokea tu baada ya yeye Hakeem5 kuongea
 
heri kupata kidogo kuliko kukosa vyote ..
 
Uyu hakimu sijui jaji kwani kiba ni baba ako kakunyima kula mpaka umuandame ivi kila siku si uendelee na maisha yako kwani lazima akusaidie yeye ndo anamiliki media zote apa bongo
 
Huyu hakeem nae anazeeka bila kutoka kwenye game lazima apate frustration....wenzake kina kiba bluu na ndugu yake dully wamejitahidi kumbeba lkn waapi hatokagi huyu
 
Mimi sitaki kujua nani mgomvi, nani sio mgomvi, ktk hiyo intvw Kuna sehemu nimeshangaa eti ABBY SKILLS ni legend au labda mm sijui nn maana ya legend, basi kama huyu legend vp man x, kali p, misosi nao ni malegend ?
 
Back
Top Bottom