Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Kwanza nianze kwa kumpongeza Ali Kiba kwa tuzo yake ya MTV Ema ( kama ni kweli imekwisha amuliwa apewe)

Nadhani hawa wana ugomvi wao binafsi tu. Uki muuliza Nuhu mziwanda, Ommy dimpoz na kina blue watakwambia ana roho nzuri kabsa
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Iceman 3D ni wewe mkuu umeongea hivi, Tangu uzaliwe leo ndo mara ya kwanza unampongeza Ali kiba na kumwagia sifa nzuri.
--Umekuwa ndugu yake madam Ritha
 
Huwezi kupendwa na watu wote,
Vinginevyo Jina lako ni PESA,
Vinginevyo hii ni Kiki!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Iceman 3D ni wewe mkuu umeongea hivi, Tangu uzaliwe leo ndo mara ya kwanza unampongeza Ali kiba na kumwagia sifa nzuri.
--Umekuwa ndugu yake madam Ritha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu nizaliwe kwani wewe ni mjomba wangu kwamba uliniona toka nlipo zaliwa!!!?

Hiyo iko wazi kabisa sijawahi kusema AK ana roho mbaya, hao wana ugomvi binafsi tu, halafu u ndugu na madam umeniambukiza wewe asee ntajitahidi niuondoe[emoji1]

In reality jamaa nampongeza kachukua tuzo na ana stahili apongezwe otherwise itakuwa chuki isiyo na msingi sasa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mkuu usiuondoe undugu na madam Ritha utainjoy sana life utakapokuwa positive +ve.
--pongezi zangu za kwanza kwa AK za pili kwako mkuu kwani hii ni hatua moja ya maendeleo katika mziki wetu wa bongofleva.
*kipindi kile umezaliwa Ali Kiba alikuwa bado hajaingia kwenye game la mziki.
 
huu uchuro huu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza nianze kwa kumpongeza Ali Kiba kwa tuzo yake ya MTV Ema ( kama ni kweli imekwisha amuliwa apewe)

Nadhani hawa wana ugomvi wao binafsi tu. Uki muuliza Nuhu mziwanda, Ommy dimpoz na kina blue watakwambia ana roho nzuri kabsa
 
Kiba ndio kibakuli aliyekuwa muigizaji na kina nyamayao na Muhogo mchungu na Bi Nasra?
 
Hahahaa
Si fikirii kama ina ufaidisha muziki wa Tanzania, ina mfaidisha Ali but he did it, na ali ipigania kweli kweli
Hao MTV EMA watakuwa wamejuta hata kumuweka kwenye category [emoji1] kwa alicho wafanya.

Ki muziki hastahili kupata tuzo mbele ya wiz kid, but hata Black Cofee aliIpata ya BET akimshinda huyo huyo wizkid. So lazima apongezwe.

*aluta continua
 
Sasa nimeamini una undugu na Salama Jabir [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Kiufupu hamna mwenye roho nzuri ukienda kinyume na utaratibu,na actually hawezi kukufanyia vitimbwi bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…