Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
sasa...asijishaue!
Ndugu yake huyo keshawahi kuimba nae sana ila ndio hivyo hatoki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yake huyo keshawahi kuimba nae sana ila ndio hivyo hatoki tu
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kwanza nianze kwa kumpongeza Ali Kiba kwa tuzo yake ya MTV Ema ( kama ni kweli imekwisha amuliwa apewe)
Nadhani hawa wana ugomvi wao binafsi tu. Uki muuliza Nuhu mziwanda, Ommy dimpoz na kina blue watakwambia ana roho nzuri kabsa
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Iceman 3D ni wewe mkuu umeongea hivi, Tangu uzaliwe leo ndo mara ya kwanza unampongeza Ali kiba na kumwagia sifa nzuri.
--Umekuwa ndugu yake madam Ritha
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu nizaliwe kwani wewe ni mjomba wangu kwamba uliniona toka nlipo zaliwa!!!?
Hiyo iko wazi kabisa sijawahi kusema AK ana roho mbaya, hao wana ugomvi binafsi tu, halafu u ndugu na madam umeniambukiza wewe asee ntajitahidi niuondoe[emoji1]
In reality jamaa nampongeza kachukua tuzo na ana stahili apongezwe otherwise itakuwa chuki isiyo na msingi sasa
Kwanza nianze kwa kumpongeza Ali Kiba kwa tuzo yake ya MTV Ema ( kama ni kweli imekwisha amuliwa apewe)
Nadhani hawa wana ugomvi wao binafsi tu. Uki muuliza Nuhu mziwanda, Ommy dimpoz na kina blue watakwambia ana roho nzuri kabsa
kijana em fafanua hapo....umemlenga nani?tatizo kubwa wabongo hatuwezi kuishi maisha yetu, mimi nikitoka kazini nikaingia ndani nimetulia wabongo watasema najiona wakati ni maisha niliyojipangia
Geni kusema kweli mimi pia simuamini huyu [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]huu uchuro huu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mkuu usiuondoe undugu na madam Ritha utainjoy sana life utakapokuwa positive +ve.
--pongezi zangu za kwanza kwa AK za pili kwako mkuu kwani hii ni hatua moja ya maendeleo katika mziki wetu wa bongofleva.
*kipindi kile umezaliwa Ali Kiba alikuwa bado hajaingia kwenye game la mziki.
Hongereni sana.huu uchuro huu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa nimeamini una undugu na Salama Jabir [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hahahaa
Si fikirii kama ina ufaidisha muziki wa Tanzania, ina mfaidisha Ali but he did it, na ali ipigania kweli kweli
Hao MTV EMA watakuwa wamejuta hata kumuweka kwenye category [emoji1] kwa alicho wafanya.
Ki muziki hastahili kupata tuzo mbele ya wiz kid, but hata Black Cofee aliIpata ya BET akimshinda huyo huyo wizkid. So lazima apongezwe.
*aluta continua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa nimeamini una undugu na Salama Jabir [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]