Haki huinua Taifa lakini kinyume chake ni kuangamiza Taifa , Haki Haina chama dini wala kabila sio Mbinguni Wala Duniani haki ndo misingi wa utawala

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Tanapambana kuinua Taifa Kwa njia NYINGI sana lakini haki ndo winchi au nguzo Namba moja ya kuinua Taifa

Kwa maana NYINGINE Taifa lolote ili liinuke lazima haki itendeke.
Kwa hiyo dalili inaonyesha Taifa linatenda haki angalia Kasi yakuinuka kwake.

Kama Taifa haliinuki maana yake Kuna mahali haki inachezewa .
Kwa wanaomini maandiko , ya nasema tafuteni kwanza serikali ya Mungu na Haki yake

Maana yake huwezi kutenganisha serikali na haki ,
Wajibu namba moja wa serikali yoyote duniani na mbinguni ni Kusimamia na kutenda haki kwa raia wake mmoja mmoja .

Linapofika suala la haki haingalii chama dini Taifa Wala kabila la MTU haki ni Haki

Pili haki haina mipaka ya kidini kikabila chama au kitaifa katika Kuisimamia

Ndo maana hata Kama mzazi watoto ni wako asipowatendea haki watainuka watu wa familia nyingine watakuonya .
Hata Kama ni kiongozi wa dini usipowatendea haki waumini wako ,
utakemewa hata na wasio wa dini yako , ndo hao wanaokamatwa na polisi hata asiye wa dini yako maana umeshindwa kutenda haki kwa waumini wako

Tatu ni jambo la aibu kukemea na kuonywa nje ya mipaka yako ya utawala lakini kumbuka haki Ina tabia hiyo ya kutafuta msaada nje ya mipaka inayokataliwa

Kama haki ni kipaumbele Cha serikali ya Mungu , ni kujidanganya kwa serikali yoyote kwamba itashindindana kinyume Cha haki

Haki Ina MWISHO wa uvumilivu wake inapokataliwa NDANI ya nchi muda mrefub ikiaanza kujitetea haitachagua aina ya watu au aina silaha

Mungu asaidie wananchi wote vyama vyote dini zote na watawala wote waone hili bado nafasi ipo ya kujirekebisha na kutenda haki
 
Mungu asaidie watawala waone hili bado nafasi ipo ya kujirekebisha na kutenda haki
Hat is your message
 
Back
Top Bottom