Acha ukilaza angalia na viwango vya timu ulizocheza nazo, unataka kutuambia ndani ya wiki moja ndio benchikha kaibadilisha timu?
Ni kawaida sana kwa kocha mpya anapoingia kwenye timu lazima wachezaji watafute namba ndicho kinachotokea ndani ya Simba na sio uwezo Wala kusema eti benchikha kaibadilisha timu labda Kama mpira umeujulia ukubwani, alafu pia unaangalia uwezo wa timu ulizocheza nazo ukoje?
Uyo wydad kachapwa mechi 2 na Asec pamoja na kibonde wa kundi jwaneng iyo ni ishara tosha ya aina ya timu uliyoenda kupambana nae, jwaneng mbovu aliyemkanda whdad wewe ulichukua point 1 kwake, na whdad aliyekandwa na jwaneng mbovu amechukua kwako point 3, kwa uhalisia umeshindwa kuonyesha ubora wako mbele ya timu mbovu zote unategemea Nini???