Haki huyu ndie mwalimu SIMBA tuliyemhitaji

Mimi naona backs wanacheza kwa uangalifu zaidi na hawapandi hovyo na kujigeuza wingers. Pia wakipanda wanabaki juu na kukabia juu badala ya kurudi nyuma chap na kumaliza pumzi ambazo wengi wao hawana.
Hata leo Simba kafungiwa pumzi.
 
Sio la Kibu Denis
 
Vilaza ni wale wanaoongea Kama vile wamekatika vichwa, mpira unatakiwa uuangalie kwa jicho la kiufundi na sio kimahaba vinginevyo mashabiki Kama nyie ndio mnaozidi kuididimiza timu shimoni badala ya kuinusuru!
Acha ujinga, yanga walipofanya usajiri mzuri tulisia, wakaleta takwimu eti simba ile ya robart imepiga pasi nyingi kuliko timu zote, lakini mashabiki wa simba wenye akili timamu tulipinga kwani yanga alikuwa anaupiga mwingi mno, sasa leo unaparamia uzi kimhemko, ebu tuliza hilo jiko nyuma.
 
Mbona kama ma Gongowazi vilaza FC wanatupangia?
Viva Benchika....
 
Marefa tunawapokea wenyewe tunashindwa kuwachabgamsha akili na mwili wenzetu wanawrzeje?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Benchika ameonyesha ni kocha mzuri apewe sapoti na ikiwezekana ashirikishwe kwenye usajili wa dirisha dogo na hasa kuongeza mshambuliaji wa kati anayejua goli na kiungo mkabaji fundi wa kupora mipira.

Robertino alitembelea nyota ya Mgunda huo ndio ukweli na si vinginevyo. Na kibaya zaidi Robetino kikosi kilimzidi ukubwa tofauti na Benchika ambaye tayari ameshafundisha timu kubwa Afrika kwa hiyo hakuna mchezaji anayeweza kuinua mabega kumzidi. Ndio maana wachezaji wengi wa Simba kwenye mechi hizi mbili wameache mizaha uwanjani.
 
Naona kama wana kikundi chao wanajitenga wao 3 tuu..wanajiona masupa staa..Chama,Miquisone na Phiri...nadhani kuna agenda wanayo hawa sio bure...
Inaonekana wamezoea kutingisha kiberiti kwamba ili wafanye vizuri lazima kuwe na bonus au kupima upepo kwamba wanaweza kuringa na kuondoka,Simba ya sasa sio ya kumbembeleza mchezaji, mtu kama Miquison ataenda timu gani kubwa ile kiwango,labda hivi vilabu vingine vya kwenye ligi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za kujifariji hizi baada ya kuangukia mkiani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mpira ungekua unafasiriwa hivyo kama unavyo sema wewe ingekua atari,umeona new castle leo anavyo nyolewa na spurs iliyo fungwa na chelsea goli nne wakati chelsea nae kafungwa goli nne na new castle,this is footbal braza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…