Haki huyu ndie mwalimu SIMBA tuliyemhitaji

Yah itakua aisee
 
Game ya marudiano na Yanga akipasuka Hana kazi, Simba Kwa makocha hamjambo,
 
Ukweli wamecheza vizuri sana utadhani ni timu tofauti na ile iliyocheza na ASEC na JJWANENG. Ila vilevile tusijipe moyo sana hata WYDAD hawako vizuri sana mwaka huu. Hata hivyo, Kocha Benchika ameanza vizuri.
 
hiyi mechi wydad aliyofungwa 2 bila na asec ni ya lini???
 
hiyi mechi wydad aliyofungwa 2 bila na asec ni ya lini???
Hakuna sehemu aliyosema Wydad kafungwa goli mbili, Uwe unasoma nakuelewa. Amesema Wydad Kafungwa mechi 2 na Asec na kibonde wa kundi Galaxy. Soma tena
 
Hakuna sehemu aliyosema Wydad kafungwa goli mbili, Uwe unasoma nakuelewa. Amesema Wydad Kafungwa mechi 2 na Asec na kibonde wa kundi Galaxy. Soma tena
Shule zimefungwa buloo tumevamiwa..
 
Unapata wapi ujasiri wa kusema Jwaneng mbovu wakati ni mwaka juzi tu ameshiriki makundi klabu bingwa,hatua ambayo Yanga hajaweza kufika kwa miaka 25? Wydad anakuwaje mbovu wakati ni wanafainali wa Klabu Bingwa Afrika msimu ulioisha na wamecheza fainali ya AFL juzi tu? Jwaneng ni bora kuliko hata Yanga kwani angalau ameshinda mechi moja ya m CL kwani Yanga tangu kuanzishwa kwake hadi sasa haijawahi kushinda mechi yoyote ya ligi ya Mabingwa hatua ya makundi
 
Bocco ana game ya ngapi hajacheza?? muacheni mzee wa watu astaafu kwa amani. Kayatenda Mengi na Makubwa pale msimbazi.
Wabongo ni wapumbavu sana.
Unaposikia kupiga misumari maana yake kuwaloga wengine.

Nchi hii ina watu wafu kiakili sana
 
Huyo kocha aishi milele hapo unyamani hata timu ikishuka daraja apande nayo...sisi tumekubali mnooo
mkipigwa gwala na mtani wenu mtamkataa mchana kweupee km siyo ninyi mnaomdifia hivi sasa
 
mkipigwa gwala na mtani wenu mtamkataa mchana kweupee km siyo ninyi mnaomdifia hivi sasa
Hata tukifurushwa club bingwa tutamdifia tuuu..... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…