Haki inanisumbuwa

Mkuu kwa mujibu wa sheria ya dini nakushauri yafuatayo;

a. Kama mwanamke anakulazimisha umpe talaka mwambie akuandikie barua rasmi, halafu umwambie asubiri 3 months utamjibu..ikipita miezi mitatu mwambie tena akuandikie barua rasmi kusisitiza kuwa hataki kukaa na wewe..akiweza kufanya hivyo unaweza kuwaita wanazuoni wafanye suluhu katika ndoa yenu..

b. Usimpe ndoa; jaribu kutengana wala mwaka moja bila kuacha kuishi na kula pamoja na ikishindika tena, hapo chukua ushauri wa wanazuoni..

Sishauri kumpa mke talaka..never
 
Usiposhauri kumpa mke talaka then the court of law will do it instead, i think u know nothing about point of no return!!....
 
Tena inalipa sana kuliko unavyofikiria,mimi nina mshkaji wangu ana hotel mbili na sasa hivi yuko mbioni kufungua ya tatu(nafikiri unaweza kupata jibu hapo). Na wenyewe wanakwambia short time(mimi napenda kuita chapchap kiduchu)ndio inalipa zaidi maana chumba hicho kimoja kwa siku kinaingiza zaidi ya laki mbili.....haya baba akili kumkichwa!
Bongo tambarareeeee.....mweeh!
 
Hahahaaa Matola wewe kiboko!!!
 
tumwagie kwanza sababu za bi mkubwa kuomba talaka, na sababu za wewe kukataa kutoa talaka tukushauri vzr. Hivi mzee tunashindwa kukupa ushauri wa maana!
 
Imebidi nikujibu hii mkuu sababu jamaa hakuelezea kama dini ya kiislamu inavyoamrisha.Ni kweli mwanamme ndio anatoa Taraka ki-dini,lakini pia mwanamke anaweza kuomba taraka kama ana sababu zinazomfanya ashindwe kuishi na mmewe. Na taraka si lazima aandike mmewe,mahakama za kidini/kiongozi wa dini anaweza kutoa taraka na ikakubalika! Ingawa wewe unaona hii ni 'nonsense' lakini uislamu umetaka kumpa haki mwanamke asiishi kwenye 'abusive relationship' au ndoa asiyoitaka.correct me if am wrong,Dini nyingi hazimpi mwanamke haki ya kupata taraka bila ya ridhaa ya mwanamme! May be that is a nonsense!
 
Yeye hayuko tayari kuchukuwa hatuwa ya kudai talaka badala yake ananitesa kwa vile mimi simpi talaka!
 
Usiposhauri kumpa mke talaka then the court of law will do it instead, i think u know nothing about point of no return!!....

Matola! naomba uelewe tatizo langu! Mke wangu ananifanyia vitimbi ili niumuache lakini mimi siwezi kumwacha (nina sababu nyingi) isipokuwa yeye ndio achukue hatuwa ya kudai talaka!
 
tumwagie kwanza sababu za bi mkubwa kuomba talaka, na sababu za wewe kukataa kutoa talaka tukushauri vzr. Hivi mzee tunashindwa kukupa ushauri wa maana!

Hewalla! Kilichopo ni kuwa kati yetu kila mmoja hataki kuonekana mbele ya familia kuwa ndio sababu ya kuachana!

Kinachofuata sasa yeye ni kunifanyia visa ili nimuache lakini hataki kusema ili kutonipa mimi faida ya kuepukana na lawama.
Kwa upande wangu mimi mbali ya kuogopa lawama kiukweli sijiwezi kwanza nampenda na pili tuna watoto naogopa kuwaharibia maisha. Mwenzangu analijuwa hilo hivyo anazidisha visa kunikomowa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…