GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi.

Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa.

Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata kanuni na taratibu za Chama.

So mgombea wa CCM ni batili, mgombea haramu, mgombea urais aliyejiteua. Kama alivyowaadhibu vikali Chadema basi na CCM Waadhibiwe.

Wanyimwe Ruzuku Kwa kutofata katiba yao na mchakato wa kumpata mgombea wa urais CCM urudiwe.

Mto wa Mbu
Illinois-USA
 
Sheria ni msumeno.
Ila kwa nchi hii sheria ni kisu chenye makali upande mmoja.
 
Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi.

Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa.

Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata kanuni na taratibu za Chama.

So mgombea wa CCM ni batili, mgombea haramu, mgombea urais aliyejiteua. Kama alivyowaadhibu vikali Chadema basi na CCM Waadhibiwe.

Wanyimwe Ruzuku Kwa kutofata katiba yao na mchakato wa kumpata mgombea wa urais CCM urudiwe.

Mto wa Mbu
Illinois-USA
HANA huo ubavu
 
Hahaha
 
tuanizshe mada hapa kuleta ilo swali tena kama tume hipo hapa tunataka tumuweke kitimoto roast na ndizi mzuzu
 
Mbona kila siku wanaimba kuwa nchi inafuata utawala wa kisheria. Vipi hii ya CCM?. Tutaona kama kweli walifuata utaratibu.
 
Labda atangaze kuwanyima Ruzuku akiwa mafichoni, vinginevyo na yeye lazima apotee ka Mdude.
 
Back
Top Bottom