Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
HANA huo ubavuHii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi.
Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa.
Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata kanuni na taratibu za Chama.
So mgombea wa CCM ni batili, mgombea haramu, mgombea urais aliyejiteua. Kama alivyowaadhibu vikali Chadema basi na CCM Waadhibiwe.
Wanyimwe Ruzuku Kwa kutofata katiba yao na mchakato wa kumpata mgombea wa urais CCM urudiwe.
Mto wa Mbu
Illinois-USA
HahahaHii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi.
Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa.
Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata kanuni na taratibu za Chama.
So mgombea wa CCM ni batili, mgombea haramu, mgombea urais aliyejiteua. Kama alivyowaadhibu vikali Chadema basi na CCM Waadhibiwe.
Wanyimwe Ruzuku Kwa kutofata katiba yao na mchakato wa kumpata mgombea wa urais CCM urudiwe.
Mto wa Mbu
Illinois-USA
Hii ni mfupa ngumu Kwa jaji MtungiHahaha
So tukubaliane msajiri ni Kwa ajiri ya ChademaHANA huo ubavu
Sheria ni msumenoYaap...! Japo ni MTU na mtuye
Kabsa Sheria ni msumenoSheria ni msumeno.
Ila kwa nchi hii sheria ni kisu chenye makali upande mmoja.
Malipo ni hapa hapaAibu naona Mimi!!
Karma hapa hapa duniani
NdioSo tukubaliane msajiri ni Kwa ajiri ya Chadema
Sasa na Chadema wagomee maamuzi yakeLabda atangaze kuwanyima Ruzuku akiwa mafichoni, vinginevyo na yeye lazima apotee ka Mdude.
Tanzania kuna maigizo Hakuna sheria mkuu. Kungekuwa na sheria wapi umewahi kuona uhaini wa mtu mmoja usiothibitishwa na umma?. Sheria zitaletwa na sisi wenyewe.Sheria ni msumeno