Haki Itendeke; Hili la Mbowe TCRA wafungieni gazeti la Mwananchi kama mlivyofanya kwa Kwanza TV

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm
HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD
mbowe.JPG

kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph mapunda embu shusha rungu kwa mwananchi ndugu yangu, haki itendeke
gwajima.JPG
 
MBOWE KUSHINDA ccm ??kvp mkuu??
si unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi bana
 
Hizi taasisi za umma kwa sasa ziko kwa ajili ya kukomoa wenye mitazamo tofauti na watawala. Hata ukitazama uundajwi wake, misingi yake ni kudhibiti wenye mitazamo tofauti na serikali. Inshort ni mechanism za kusaidia chama tawala kukaa madarakani kwa shuruti.
 
si unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi bana
Sasa hapo tatizo la mwananchi ni lipi.? Mwananchi ametumia jina la mwisho la huyo jamaa sasa hilo ni tatizo.?
 
Badala ya kupigania vyombo vya habari viwe wazi, unataka vingine vifungiwe? Akili za kijamaa hizi. Tukiumizwa na wengine waumizwe, tukifanyiwa ubaya na wengine wafanyiwe ubaya. Ndiyo Ujamaa. Shared misery.
 
TCRA hawapaswi kuwa na mamlaka ya kuvifungia vyombo vya habari, wao sio mahakama.
 
nilitaka ni comment kitu but baada ya kuliona jina lako nmeacha maana njaakali hatari always ndugu yake huwa ni roho mbaya sana na wivu ambao hupelekea kuwa mchawi kabisa au shetani
mbona tayari usha comment bwasheee, wewe jina lako inaamnisha una ufalme wako siyo? jingaz kabisa
 
Sasa hapo tatizo la mwananchi ni lipi.? Mwananchi ametumia jina la mwisho la huyo jamaa sasa hilo ni tatizo.?
soma habari uilewe, kosa la kwanza Tv kusema gwajima kapata ajali ni nini? umesoma hukumu ya TCRA kuhusu jina gwajima?? ina tofauti gani na hii ya mwananchi na mbowe
 
Badala ya kupigania vyombo vya habari viwe wazi, unataka vingine vifungiwe? Akili za kijamaa hizi. Tukiumizwa na wengine waumizwe, tukifanyiwa ubaya na wengine wafanyiwe ubaya. Ndiyo Ujamaa. Shared misery.
kwa hiyo haikuwa sheria kwanza tv walipofungiwa ? ina maana hutaki sheria zifatwe?
 
soma habari uilewe, kosa la kwanza Tv kusema gwajima kapata ajali ni nini? umesoma hukumu ya TCRA kuhusu jina gwajima?? ina tofauti gani na hii ya mwananchi na mbowe
Huyo aliyepata ajali anaitwa nani majina yake yote.?
 
Kwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm
HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD
View attachment 2376324
kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph mapunda embu shusha rungu kwa mwananchi ndugu yangu, haki itendeke
View attachment 2376325
Ni sir name tu huyu anaitwa Rogath mbowe ni mwanaccm kitambo sana aliwahi kuwa diwani wa CCM miaka ya nyuma ni jirani yangu ana bar maarufu inaitwa mbezi rest mtu powa sana

Nadhani wewe unakalili kila mbowe ni Freeman wa chadomo

USSR
 
si unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi bana
Rogath mbowe wa mbezi rest

USSR
 
Ni sir name tu huyu anaitwa Rogath mbowe ni mwanaccm kitambo sana aliwahi kuwa diwani wa CCM miaka ya nyuma ni jirani yangu ana bar maarufu inaitwa mbezi rest mtu powa sana

Nadhani wewe unakalili kila mbowe ni Freeman wa chadomo

USSR
gwajima.JPG
 
We unaona hii taarifa imeleta matatizo kwa familia yake au kwa Wanachadema? Wote mnajua hakugombea, sasa shida iko wapi?
 
Ungekuwa na akili ungegundua hata gwajima wengine familia zao zilijua hawakupata ajali ila kwanza tv ikafungiwa
 
Back
Top Bottom