njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
si unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi banaMBOWE KUSHINDA ccm ??kvp mkuu??
watu wa kwanza tv walifungiwa kwa kosa kama hilo ,washushe rungu na huko sasaWalikuwa wanavuta wasomaji.Inachanganya kwakweli.
nilitaka ni comment kitu but baada ya kuliona jina lako nmeacha maana njaakali hatari always ndugu yake huwa ni roho mbaya sana na wivu ambao hupelekea kuwa mchawi kabisa au shetaniwatu wa kwanza tv walifungiwa kwa kosa kama hilo ,washushe rungu na huko sasa
Sasa hapo tatizo la mwananchi ni lipi.? Mwananchi ametumia jina la mwisho la huyo jamaa sasa hilo ni tatizo.?si unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi bana
mbona tayari usha comment bwasheee, wewe jina lako inaamnisha una ufalme wako siyo? jingaz kabisanilitaka ni comment kitu but baada ya kuliona jina lako nmeacha maana njaakali hatari always ndugu yake huwa ni roho mbaya sana na wivu ambao hupelekea kuwa mchawi kabisa au shetani
soma habari uilewe, kosa la kwanza Tv kusema gwajima kapata ajali ni nini? umesoma hukumu ya TCRA kuhusu jina gwajima?? ina tofauti gani na hii ya mwananchi na mboweSasa hapo tatizo la mwananchi ni lipi.? Mwananchi ametumia jina la mwisho la huyo jamaa sasa hilo ni tatizo.?
kwa hiyo haikuwa sheria kwanza tv walipofungiwa ? ina maana hutaki sheria zifatwe?Badala ya kupigania vyombo vya habari viwe wazi, unataka vingine vifungiwe? Akili za kijamaa hizi. Tukiumizwa na wengine waumizwe, tukifanyiwa ubaya na wengine wafanyiwe ubaya. Ndiyo Ujamaa. Shared misery.
Huyo aliyepata ajali anaitwa nani majina yake yote.?soma habari uilewe, kosa la kwanza Tv kusema gwajima kapata ajali ni nini? umesoma hukumu ya TCRA kuhusu jina gwajima?? ina tofauti gani na hii ya mwananchi na mbowe
Ni sir name tu huyu anaitwa Rogath mbowe ni mwanaccm kitambo sana aliwahi kuwa diwani wa CCM miaka ya nyuma ni jirani yangu ana bar maarufu inaitwa mbezi rest mtu powa sanaKwanza tv ya maria sarungi iliandika Gwajima apata ajali, ikala rungu la TCRA , soma sababu zake na uniambie kwa nini mwananchi wasile rungu kwa jinsi walivyoandika habari ya mbowe kushinda huko ccm
HAKI ITENDEKE, ACHENI DOUBLE STANDARD
View attachment 2376324
kilichofanya kwanza tv ikala rungu hiki hapa, bwana Joseph mapunda embu shusha rungu kwa mwananchi ndugu yangu, haki itendeke
View attachment 2376325
Rogath mbowe wa mbezi restsi unaona ? heading ya kutaka kuleta utata, jamaa la ccm linaitwa regan mbowe...kwanza tv walifungiwa kwa style hiihii ila hapa utaona TCRA watakavyokausha kimya lakini kila siku wanasisitiza sheria zifuatwe, dah hii nchi bana
Ni sir name tu huyu anaitwa Rogath mbowe ni mwanaccm kitambo sana aliwahi kuwa diwani wa CCM miaka ya nyuma ni jirani yangu ana bar maarufu inaitwa mbezi rest mtu powa sana
Nadhani wewe unakalili kila mbowe ni Freeman wa chadomo
USSR
Rogath mbowe wa mbezi rest
USSR
Ungekuwa na akili ungegundua hata gwajima wengine familia zao zilijua hawakupata ajali ila kwanza tv ikafungiwaWe unaona hii taarifa imeleta matatizo kwa familia yake au kwa Wanachadema? Wote mnajua hakugombea, sasa shida iko wapi?