Haki Itendeke; Hili la Mbowe TCRA wafungieni gazeti la Mwananchi kama mlivyofanya kwa Kwanza TV

Ninakubaliana nawe, na kwa kweli ni jambo linalojulikana toka zamamni kwa sababu taasisi zote viongozi wake ni watu wa CCM.
Lakini kinachonisikitisha ni jinsi CHADEMA walivyopoa sana kuhusu haya mambo. Ni kama wamefika mahali imebidi na wao wayakubali tu kama watu wengine wote walivyoyakubali kuwa ni mambo ya kawaida.
CHADEMA wanaposhindwa kuendelea kuyashikia bango haya mauchafu ya CCM, sijui ni nani ataongoza mapambano ya ukombozi huo wa nchi yetu.

Kuna kitu hakiko sawa huko CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…