Ukiwa kiongozi sehemu yoyote ile ukitaka kuwa salama hapa duniani na Mbiguni basi wewe tenda Haki bila kujali, ilimradi unachokitenda ni haki mbele za Mungu na mbele ya binaadamu wenzako.
Na kinyume chake, Unafiki madhara yake ni makubwa sana kwa binaadamu wenzako na mbele za Mungu.
Hakuna haja ya kufanya Unafiki kamwe hautokusaidia bali kitakacho kusaidia ni matendo yako ya haki na maamuzi ya haki.
Kwa kila kiongozi popote pale anapo ongoza acheni unafiki tendeni Haki, kwani haki huinua Taifa na unafiki hudidimiza taifa.