Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,281
Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita.
Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea nchini lkn haki hii ya kuandamanamana imebinywa na kukataliwa kwa maneno makali ya viongozi na vyombo vya dola hasa polisi.
Mpaka sasa mataifa mengi yamelaani tukio hili lililotokea marekani na Mataifa mengi yameunga mkono maandamano ya amani.
Swali:
1. Mbona sijasikia viongozi waTanzania kulaani na kuunga mkono maandamano?
2. Kwanini Tanzania inakataza raia wake kuandamana kwa mujibu wa Katiba?