WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
Sheria ya ardhi inataka makubaliano ya kupangisha nyumba yafanyike kwanjia ya maandishi. Lakini sio lazima kwa MTU anaepanga nyumba kwa muda wa chini ya miaka mitano kufanya makubaliano yamaandishia anaweza akapangisha bila kuandikishana.Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo yangu ya kodi ikoje kisheria ?
Asante mkuu kwa ushauriSheria ya ardhi inataka makubaliano ya kupangisha nyumba yafanyike kwanjia ya maandishi. Lakini sio lazima kwa MTU anaepanga nyumba kwa muda wa chini ya miaka mitano kufanya makubaliano yamaandishia anaweza akapangisha bila kuandikishana.
Japo sio lazima makubaliano yakupangisha nyumba chini ya miaka mitano kufanyika kwa maandishi. Lakini nivizuri kwa upande wa mpangaji na mpangishaji kuwa na makubaliano ya maandishi ili kurahisisha ushahidi endapo itatokea sintofahamu yoyote.
Kwenye issue yako unahaki na unamamlaka yakudai kodi yako kwasababu unaon ushaihidi kuwa wewe ndie mmiliki wa nyumba na wewe ndie uliempangisha mpangaji, na haijakanushwa na MTU yeyote vinginevyo. Kwahio dai kodi yako wala usiogope.
Case closedSheria ya ardhi inataka makubaliano ya kupangisha nyumba yafanyike kwanjia ya maandishi. Lakini sio lazima kwa MTU anaepanga nyumba kwa muda wa chini ya miaka mitano kufanya makubaliano yamaandishia anaweza akapangisha bila kuandikishana.