JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu
Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja
Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au ajira zilizopo kwenye Halmashauri hiyo
Je, unatembelea ofisi za Halmashauri kufahamu fursa za maendeleo zilizopo?
Upvote
0