Baada ya kuoana na kuzaa watoto 4 na kuishi kwenye ndoa pamoja kwa miaka 15 na kuchuma mali zetu pamoja maana wote ni watumishi na kuandika majina yetu mawili kama wamiliki.
Mume anakuja kusema kabla hajanioa alikuwa na mtoto alizaa anaomba nimtambue. Hapa sheria au haki ya huyu mtoto ikoje?
Hakuna mtoto anaitwa wa nje tafadhali sana heshimu haki za watoto na kwamba huyo mtoto kama mumeo alimzaa kabla ya kuwa nawe na kwamba kosa lake ni kutokukuambia mapema bado hailalalishi wewe kumwita ni mtoto wa nje na kwa minajili hiyo ni kama unataka kusema humtambui...
from the decision of the Court of Appeal in VIOLET ISHENGOMA KAHANGWA & JOVIN MUTABUZI V. THE ADMINISTRATOR GENERAL & MRS EUDOKIA KAHANGWA (1990) T.L.R. 72
where it was inter alia stated that; ''.......... A child as defined under the Law of Marriage Act, 1971, does not include an illegitimate child, thus the word ''children'' in section 129 (1) of the L.M.A does not include illegitimate children. A putative father's obligation to his illegitimate children is personal and ends with his death it does not survive him won and cannot attach to his estate upon his dying inter state'' (stare decis- stand for what was decided before)
Hakukuambia kwa sababu ya woga wa kukupoteza. Elewa hilo kwanza.
Pili, mtoto mwenye umri say wa miaka 20 huwezi kumkumbatia na kumpenda kama wa kwako. Amelelewa malexi tofauti kabisa na ulivyolea wanao...
Dunia inawakataa kivipi wakati umesema ni dini - yani Mungu - ndio anawakataa?.......kwa dini ya kiislam, mtoto wa nje ya ndoa ni haram
.....ni mtoto wa uzinifu/haram na huwezi kukukifanya kitu haram kuwa si haram.
.....Mungu anawapenda kuliko wanadamu, hata kama dunia itawakataa Mungu anawatambua
technical comment, a very rare brand at JF.from the decision of the Court of Appeal in VIOLET ISHENGOMA KAHANGWA & JOVIN MUTABUZI V. THE ADMINISTRATOR GENERAL & MRS EUDOKIA KAHANGWA (1990) T.L.R. 72
where it was inter alia stated that; ''.......... A child as defined under the Law of Marriage Act, 1971, does not include an illegitimate child, thus the word ''children'' in section 129 (1) of the L.M.A does not include illegitimate children. A putative father's obligation to his illegitimate children is personal and ends with his death it does not survive him won and cannot attach to his estate upon his dying inter state'' (stare decis- stand for what was decided before)
:A S-confused1:Umegusa ikulu mkuu...ina maana wengine tumezaliwa bahati mbaya siyo?
Sheria mpya ya watoto ya mwaka 2009 imeleta mabadiliko makubwa sana. Mtoto wa nje katika sheria ya zamani hawakuwa na haki ya kurithi,katika sheria mpya mtoto huyu anahaki zote kama watoto waliozaliwa ndani ya ndoa.
Na baba wa mtoto huyu anawajibu wa kumtuza kama watoto wengine na anahaki ya kuwafahamu ndugu zake wote.
Kama mmeo akifariki (god forbid), mtoto anahaki ya kurithi na pia kuhudumiwa kama watoto wengine. Haijalishi kama aliletwa nyumbani au laa. If he can prove kuwa yule ni baba yake na alikuwa anamuhudumia, then he is very much entitled.
Sasa ilikuondokana shari baadae, andikeni will, muende kwa mwanasheria awasaidie. Na pili amjenge huyu mtoto nyumba au ata amnunulie kiwanja amuachie.
sio hivyo bwana. mbona kama nimeongea very reasonably.
hakuna aliezaliwa bahati mbaya, wala hakuna asie na faida. mimi nina kaka wa kambo, na tunapendana kuliko kakangu wa kuzaliwa mama mmoja.
asante sana mkuu its so offensiveHakuna mtoto anaitwa wa nje tafadhali sana heshimu haki za watoto na kwamba huyo mtoto kama mumeo alimzaa kabla ya kuwa nawe na kwamba kosa lake ni kutokukuambia mapema bado hailalalishi wewe kumwita ni mtoto wa nje na kwa minajili hiyo ni kama unataka kusema humtambui
Jitahidi uondokane na roho ya namna hiyo na jifunze kukubali uhalisia kwani hata kama ukimkataa atabaki kuwa ni mtoto wenu au wako kama utamkumbatia kwa dhati na kumpenda kama uliyemzaa mwenyewe, kama ungekuwa ni wewe mezalishwa na mwanaume ambaye baadae akakukacha na baadae akataka kumhudumia mwanao ungekataaa?
kila mtoto anahaki na kwamba neno mtoto wa nje halipaswi litamkwe kwenye vinywa vya watu wenye kujua maana ya utu
astakhafurlah mhhhhhh??Binafsi ni zao la so called nje ya ndoa...zaidi mimi ni mtoto wa saba out of sita wa 'kwenye ndoa'! Mbaya zaidi mama yangu na 'mama wa ndoa' wa baba ni mtu na dada yake! Leo mama yangu kaolewa kwenye ndoa nyiginge(kwa kuwa alinizaa kabla hajakuwa na ndoa) na wapo ndugu zangu wengine watatu 'wa kwenye ndoa ya mama' Kwa mujibu wako King'asti niandike tu mmaumivu siyo? Ila namshukuru huyu baba 'aliyemwoa mama' kwa kunisomesha! Na mimi naomba Mungu aniepushie mtoto 'haramu' kama mimi navyoonekana!