Haki ya mtoto huyu wa nje ya ndoa ikoje?

Mgawie urithi au atapata urithi wa baba ake kisheri inaruhusiwa baba kuamua kugawa baadhi ya urithi wake kwa mtu ampendae
lakini akifanya hivyo atakuwa amegawa kwenye wosia si kugawa kwa mtoto halali bali kwa mtu baki kama vile tu ambavyo angegawa kwa rafiki etc.
 
hakuna kitu kinachitwa mtoto wa nje jamani......mtoto anaweza akaitwa kua amezaliwa out of wedlock pale panapokua na subsisting mariage.lakini kwa kiafrica mtoto anahalalishwa tafadhali....na kama mumeo kakuambia ana mtoto kakuheshim sana tena sana ......ukipata utata kwa haya tafadhali nipigie kama hautojali. 0717205888
 
Jibu SWALI SHERIA inasemaje juu ya URITHI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…