Kabila sio rangi,wala sura,wala mavazi,kabila ,mwenye kabila ndio anayejijua yeye,ni kabila gani.Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“.
Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto ndani yetu, …
Naona umekumbuka baada ya kumwona mjombake mama wa Taifa....[emoji848]Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“.
Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto ndani yetu, …