Haki ya nani wamefanana

Haki ya nani wamefanana

sijajua nitampataje kwani nikiongea nae bado ananipotezeapotezea

Tacho nkohane iryogho mbane,umwiseke uyo kama nomo hachele nola mwimuki
bhunyoobhu kabhisa,...
Hai oghosoma kana?
Uni kumulima nde,...omoka gho kabhere
 
Mkuu inabidi ujitahidi umwondoe yule moyoni sababu kama ulimpenda akakutenda kwa nini utafute wa kufanana na yeye? hapo kuna kitu na kitakuandama mpaka mwisho, utakuwa unamlinganisha mwnamke wako mpya kwa kila kitu hadi mtaanza kugombana. Na wewe ulimkawiza wa nini?
 
Umeshaenda front au bado unajivuta? Usirembe kaka kama vipi tangaza nia mapema.
 
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani
Hapo inanipa wasiwasi kama utakuja kuoa hapa duniani....!
 
Usifananishe mkuu tafuta vipya vinavyokuvutia katika hiyo new brand
 
kuna msichana mmoja nilimpenda sana sikufanya nae mapenzi kwani nilijua nitakuja kumuoa kwa uchungu alibikiriwa na kijana mmoja hivyo akanitosa nilipata uchungu sana kwani nilikuwa nampenda tangu mwaka 2005 hadi leo sijatafuta msichana mwingine ila mwezi uliopita nimekutana na dada mmoja hapa chuoni anafanana kila kitu ambacho nilikuwa napenda kwa yule wa kwanza rangi, kutembea, macho, pozi, sauti tabasani hadi maumbile kwa kweli amenikosha sana ama hakika watu wanafanana jamani

Weka mambo faster..usije kuta umewahiwa tena..
 
Chunga sana kijana roho yako! Naona umechoka kuvuta hewa ya buree! Nitakunyima hewa kijana,unajua kuwa huyo ni nyumba ndogo wangu? na sio bikra kama ulivyosimuliwa vijiweni!! Ninakasomesha mwenyew bwana sio masihara!!!
 
Domo zege nini mkuu..........ila kuwa makini akijua kuwa unamfananisha na x-gal wako anaweza akachukia.Kuna watu hawapendi kufananishwa na ma'Xs.....

Hivi utamwita XGF wakati hata sukita hakuipata? alikuwa mshika pembe huyo...halafu jamaa lame to the max
 
Sasa ye anakaa kutuhadithia walivyofanana wakati wenzake wanatafuta hati miliki!

Eti wamefanana kila mahali hata maumbile, jamaa muongo acha, mshika pembe tu huyu, aseme niliyempata tayari nimeua Osaba sio hadithi tena, aseme sasa sijachelewa, soon atakuja na zingine
 
heee jamani kumbe tusione tunapendwa kumbe upo kama kivuli cha aliyepita lol? maisha magumu sana haya kwenye mahusiano
 
Hayo maumbile wanayofanana ni yepi?? Nje au Ndani?? Kwahiyo kama wanafanana basi tegemea na huyo kudakwa na mwingine kama yule wa mwanzo maana siwanafanana kila kitu?? Mie nafikiri ni wewe tu na fikra zako umejikuta unahamishia picha ya yule wa mwanzo kwa huyu wa sasa ndio mana unaona wana fanana ni hisia zako tu mkuu hawafanani hao.
 
Tacho nkohane iryogho mbane,umwiseke uyo kama nomo hachele nola mwimuki
bhunyoobhu kabhisa,...
Hai oghosoma kana?
Uni kumulima nde,...omoka gho kabhere

Kwa wale msioelewa hiyo lugha hapo juu chukua tafsiri hapa chini(hasa mhusika isije kua umeweka jina magumashi jamaa akajua wa poti kaamua kukupa mchongo ki-hom-hom):

Tacho nkohane iryogho mbane = ndugu yangu ukimpatia nafasi safari hii huyo akaingia chumbani kwako Mbane.

umwiseke uyo kama nomo hachele nola mwimuki = usimchekee tena huyo kama noma acha na iwe noma safari hii

bhunyoobhu kabhisa = malizana nae kila kitu kabisa

Hai oghosoma kana? = kwani amesoma sana kukuzidi hivyo una muogopa?

Uni kumulima Nde = yani ukishampata tu basi wako huyo milele atanasa hapo kwako hatoki

omoka gho kabhere = amka(changamka) kijana wangu usiniangushe.
 
Back
Top Bottom