Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 234
- 376
Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko.
Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika jamii. Mfano, kukosa kupata elimu, matibabu au huduma nyinginezo.
Hali hii inawafanya wajione kama ni watu wasio na thamani katika jamii hali ya kuwa sio kweli, kwani binadamu wote ni sawa na tofauti za kimaumbile sio kigezo cha kuwashusha thamani watu wengine.
Watu wenye ulemavu wako sawa mbele ya sheria na wanatakiwa kulindwa na sheria bila ubaguzi wowote.
Hivyo, serikari inatakiwa kuhakikisha watu wenye ulemavu wanalindwa na kupata haki zao kwa mujibu wa sheria.
Serikari inatakiwa kufanya kila jitihada kuondoa ubaguzi wa aina yoyote dhidi ya watu wenye ulemavu wa lika zote.
(ongeza maalifa kwa kusoma kifungu cha 6 cha Sheria ya watu wenye ulemavu ya mwaka 2010)
Imeandaliwa na:
Mr.George Francis
0713736006
NB:
Tunatakiwa tukumbuke kwamba binadamu wote ni sawa, hivyo usimbague mtu yoyote kwasababu ya ulemavu wake kwani hata wewe unaweza kupata ulemavu wakati wowote.
Join us
Telegram: TANZANIA LAWYERS FORUM 🎓
Facebook: TANZANIA LAWYERS FORUM | Facebook