fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda za hovyo dhidi ya Wapalestina hazina maana yoyote, tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza, mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu, wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote, lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao. Mungu sio dhulumati. Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana, na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu, roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udhulumati