Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Nimejiskia hovyooo na aibu juu kusikia mwanaume analia kama kafiwa mama yake. Sidhani kama analilia utamu wa papuchi itakua ameona reputation yake itashuka
 
Hahaha sio kwa kuidadavua mbunye huko mwee
 
Fantastic!!!.

You only know you have been high when you fill low.

Only hate the road when you miss home.

ONLY KNOW YOU LOVE HER WHEN YOU LATE HER GO.
You only need the light when its burning low ,
You only miss the sun when it starts to snow
You only know you love her when u let her go
 
Duh
 
Kama mtoto wa ciara na future anavyobond vizuri na mume mpya wa ciara..... lazima uumie double double
 
You only need the light when its burning low ,
You only miss the sun when it starts to snow
You only know you love her when u let her go
Staring at the bottom of your glass, hoping one day you'll make dreams last,
but dreams come slow and they go so fast.
 
Mshenzi kweli huyu. Mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke. Yani naaza kumheshimu Bashite badala ya huyu mjinga
 

Dou , I see kwa namna ulivyoandika mkuu nimeshindwa tu kujizuia hata kucheka ina maana hata bimkubwa (Mother yako) alimshauri mzee waongeze wa nne kabisa ili kufaidi 'so called Machine' au ndo chai tu hii dah haya mkuu 'salute' kwa kujua haya ya ndani na ushababi wa 'Mzee'
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu shetani kweli yupo bongo kuweni makini watu wanapitiwa wanazaa au kuolewa kabisa.

Alizoea huyu ndo wakuvumilia maujinga yake tu
 
Una video?au unabwabwaja tu.una uhakika gani kama huko atatulia..kwanza kumzalia mwanaume watoto wawili wakati hajakuoa ni upunguani mkubwa..
 
Sijawahi kumlilia mwanamke na haitokuja itokee, wanawake walivyojazana hivi eti nimwage chozi..kudadadeki
Usiseme hivyo. Mbave mmoja alikuwa anajitapa hivi anafanya atakavyo player kweli kweli! Shetani alinikatia tiketi alilia weee akahama mkoa kikazi but when a woman is tired is tired.
 
Thamani ya mtu huwa inaonekana kitu kikiwa hakipo. Acha abebe msalaba wake maana yeye aliona cha niniii mwenzie akaona kitamfaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…