Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaAnalilia papuch. Ndo uimagine ilikuwaje tamuje. [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa Ruge hii issue yote imekuja kama a big chock kwake. Zama ni mtu aliye kuwa na mipingo nae mingi ya maisha. Ni ngumu sana kumwambia Ruge be strong zkifikiria kuna mwanaume atakae kuwa na access na watoto wake
Duh kupwita?? Umeongea kizaramo"Debe tupu haliachi kupwita"
Mtenda hutendwaRugeee
Kawaliza wasanii wengi sasa na yeye analizwa na mapenzi
Hahahaa waarabu wapemba mwajuana kwa vilemba!Tutaonana kwenye uzi wa like
Sio bidhaa ameona ubora eti!Si mzee wa fursa atafute fursa ya kupata mwingine aache mbna bidhaa zipo nyingi sokoni
Inauma sana mkuuTokea dunia iumbwe, once UMPENDAE KWA DHATI iwe mwanamke au mwanaume, huwezi kuwa strong.. Kuna wafalme na mifano mingiii wanaume mashujaa mno waliangushwa na wanawake, kisa malovi lovi.. Nguvu yake ukiwa umependa hadi kufikia wamekuwa na watoto 2 hapo Ruge alijua ameshafika na hata kama alikuwa anachepuka na kuzaa nje na ufuska kibao bado Ruge alijipa assurance 100% kuwa Zamaradi hawezi kufukuta au kumgeuka, and again amemajiri hapo Clouds, so Ruge alijiachiaaaa anafanya atakalo wala alikuwa hamjali sanaa Zama sbb ana uhakika wala hana pupa ya kumsikiliza wala nn na alimnyanyasa kwa kumonyesha ufuska wazi wazi.. Maraa maraa paaaaaap... Kipanga kachukua muke ya mtu mchana mchana na mara hapo hapo mara paaaaap Harusi na watoto wako wamechukuliwa na mume mwingine.. Mmmaninaaaa wallaaah waweza kufa umesimama... Ha haaaa hili pigooo TAKATIFU KWA RUGE... yaani Zama kamnyoosha shubaaaaash.. Moyo waweza kutokea mdomoni teh teh..
Inauma sana mkuu
Kuendelea kukujibu ni wastage of time sio siriKuna tofauti kubwa sana kati ya 'Mke' na 'Hawara' (Mchepuko). Ruge alikuwa na zaidi ya mwanamke mmoja sawa. Je hao wanawake walikuwa wake zake au michepuko yake?
Narudia kauli yangu...
Mke Mmoja Anadumaza Akili.
Mi wa hapa hapa. Karibu sana.Duh kupwita?? Umeongea kizaramo
MNAWAKUTAGA WANAWAKE WA KUWANYANG'ANYA WATOTO!Watoto ni mali ya baba hata sheria inatambua hilo