Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Kufungua shauri dhidi ya nani? maana lazima awepo anaetuhumiwa kuvujisha hio audio
 
kwa Ruge hii issue yote imekuja kama a big chock kwake. Zama ni mtu aliye kuwa na mipingo nae mingi ya maisha. Ni ngumu sana kumwambia Ruge be strong zkifikiria kuna mwanaume atakae kuwa na access na watoto wake

Tokea dunia iumbwe, once UMPENDAE KWA DHATI iwe mwanamke au mwanaume, huwezi kuwa strong.. Kuna wafalme na mifano mingiii wanaume mashujaa mno waliangushwa na wanawake, kisa malovi lovi.. Nguvu yake ukiwa umependa hadi kufikia wamekuwa na watoto 2 hapo Ruge alijua ameshafika na hata kama alikuwa anachepuka na kuzaa nje na ufuska kibao bado Ruge alijipa assurance 100% kuwa Zamaradi hawezi kufukuta au kumgeuka, and again amemajiri hapo Clouds, so Ruge alijiachiaaaa anafanya atakalo wala alikuwa hamjali sanaa Zama sbb ana uhakika wala hana pupa ya kumsikiliza wala nn na alimnyanyasa kwa kumonyesha ufuska wazi wazi.. Maraa maraa paaaaaap... Kipanga kachukua muke ya mtu mchana mchana na mara hapo hapo mara paaaaap Harusi na watoto wako wamechukuliwa na mume mwingine.. Mmmaninaaaa wallaaah waweza kufa umesimama... Ha haaaa hili pigooo TAKATIFU KWA RUGE... yaani Zama kamnyoosha shubaaaaash.. Moyo waweza kutokea mdomoni teh teh..
 
Narudia kusema ktk mahusiano ukiona yamekufa aliesababishe yafe ndio atakua muhanga baadae,hapa sijui nan kasababisha yafe Ila anaeacha Mara nying anakwama kuliko alieachwa,

Huwa zaman kabla sijaoa nilipendwa kuachwa zaid kulko kuacha,maana niliogopa kukwama mbelen na baadae nirudie kule kule
 
Tokea dunia iumbwe, once UMPENDAE KWA DHATI iwe mwanamke au mwanaume, huwezi kuwa strong.. Kuna wafalme na mifano mingiii wanaume mashujaa mno waliangushwa na wanawake, kisa malovi lovi.. Nguvu yake ukiwa umependa hadi kufikia wamekuwa na watoto 2 hapo Ruge alijua ameshafika na hata kama alikuwa anachepuka na kuzaa nje na ufuska kibao bado Ruge alijipa assurance 100% kuwa Zamaradi hawezi kufukuta au kumgeuka, and again amemajiri hapo Clouds, so Ruge alijiachiaaaa anafanya atakalo wala alikuwa hamjali sanaa Zama sbb ana uhakika wala hana pupa ya kumsikiliza wala nn na alimnyanyasa kwa kumonyesha ufuska wazi wazi.. Maraa maraa paaaaaap... Kipanga kachukua muke ya mtu mchana mchana na mara hapo hapo mara paaaaap Harusi na watoto wako wamechukuliwa na mume mwingine.. Mmmaninaaaa wallaaah waweza kufa umesimama... Ha haaaa hili pigooo TAKATIFU KWA RUGE... yaani Zama kamnyoosha shubaaaaash.. Moyo waweza kutokea mdomoni teh teh..
Inauma sana mkuu
 
Kumbe zamaradi ni mtoto wa kitanga?nampa hongera sana sana kwa kujitambua na kujua nafasi yake.kuna wanawake wamesoma, wana kazi nzuri,lakini unakuta ananyasika kisa umaarufu wa mtu,ni upuuzi na utakufa bila sababu ya msingi ukaacha watt wako wanatesa na wazazi unawachia majonzi.ukifa mwezio anaoa mke mwingine.sasa nimeandika kwa helifu ndg.hongera sana zama wewe ni kati ya wanawake wachache sana wenye maamuzi makini.nakutakia maisha mema kwenye ndoa yako.
 
Inauma sana mkuu

Haaaa.. Alafu na watoto wako wanaanza kumuita mwanaume mwingine from nowhere BABA shikamoo... Baba mpya nae anatoa care kwa watoto kama wake ukute and wako nao nyumba moja na huku anamkung'uta pxmbx vibaya mtu ulikuwa unaishi nae 100% kwa miaka 7 kama mke na mume alafu kachukuliwa kwa speed ya light... Paaaaaaaap hayupo plus watoto uwiiiii uwiiiiiiiii, mama yangu weee.. Ruge hili kapatiwa adhabu kuu maishani mwake, na atajutia.. Mm naona Ruge atafute mwanamke mwingine haraka mzuriiiii apige pxmbx kama kawaida yake na aendelee na maisha though ni ngumu but that is only option sbb hana namna tenaaa... Hapa kapigwa pigo takatifuuuu... Nacheka ila ufuska wa Ruge ni zaidi aiseee sasa atajifunzaa.. Haaa
 
Inaonekana jamaa alilewa demu akatake advantage na kumrekodi kabisa dah
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya 'Mke' na 'Hawara' (Mchepuko). Ruge alikuwa na zaidi ya mwanamke mmoja sawa. Je hao wanawake walikuwa wake zake au michepuko yake?

Narudia kauli yangu...
Mke Mmoja Anadumaza Akili.
Kuendelea kukujibu ni wastage of time sio siri
 
ALIPOWATIFUA TIFUA KINA JIDEEEEEEEEEEE
KINA FEZAAAAA
KINA CABY NEVARDAAAA
KINA RAY CIIIIIII
KINA NANI SIJUIIIIIIIIIIIIIIIII
KINA FINA MANGOOOO
leo sa hizi kakutana na kiboko yake!maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanina wallahi!
ILA ULISEMA FURSA NI EMBE WE UKISUBIRI WENZIOWANANLIA NA MUNYU!
hahahahahha sasa mishen town AMEWEKA NA MAYONAISSE maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamae!
tuliza kipira boss ruge!
pale lemuttuz,hapa bashite pale mange!
wote wakushambulie wewe UTABAKI NA NINI ?
usitume tena wale wabeba ubuyu kuharibia watu maisha kenge nyie!
 
Nampongeza kwa dhati mwana Dada Zamaradi kwa kujitambua na kutambua thamani yake. ieleweke ndoa kwa dini ya zamaradi ni tendo la ibada, kitendo cha kuzalishwa na kudumu na mapenzi kwa miaka kadhaa bila ndoa ni dharau kwa mwanamke, dharau kwa wazazi na ni jamabo baya kiimani. hivyo maamuzi ya kijasiri ya kutupilia mbali umaarufu, pesa na cheo cha Ruge na kuifuata ndoa ni uamuzi wa kijasiri. Popote ulipo Zamaradi nakupongeza kwa uamuzi huo na nakuombea kwa mwenyezi mungu ndoa yako idumu na kudumu. Kwa wakati huu utasikia mengi, lakini yapuuze ili ujenge maisha yako
 
Back
Top Bottom