Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously? Utakuwa moja kati ya mia.Wewe hizi habari hauzijui na humjui ruge tulia....kwanza aliyekudanganya zamaradi hawezi kuwalea wale watoto ni nani.....kaa ujue zamaradi ni mfanyabiashara na biashara zake zinaweza kumwendeshea maisha yake bila kutetereka..........narudia wanaume msifikiri mkiwapa wanawake pesa majumba sijui magari ndiyo muone mmemaliza kazi muanze kufanya mtakacho eti kisa sijui pesa upupu gani binafsi heri niwe na mtu ambae hana hata mkeka wa kulalia kuliko kua na mtu kama ruge au kua na mwenye pesa ambae ananipa stress kwa tabia zake chafu
ile ilikuwa ni danganya toto, alikuwa anamzuga alale tu, hakuna cha mazungumzo wala nnZamaradi naye hajatulia. Inakuaje mke wa mtu unaongea na bwana wako wa zamani na unapromise kuwa alale "kesho nitakuja tuzungumze"? Unakwenda kuzungumza naye nini wakati umeshaamua kuolewa na mwingine? Utaomba ruhusa kwa mumeo au unakwenda kimyakimya? Huyo dogo aliyemwoa huyu dada ajiongeze mapema la sivyo akubali kugongewa na akina Ruge kila uchao.
Si unaona mkuu, mtu mzima anamwaga makamasi utafikri amepagawa? Sasa zingekuwa nyama zote ziko sawa si angesema nitapata mwingine!Nakuunga mkono. Ile kauli haina uhalisia kwa sasa
katika moja ya makosa babu yangu alinionya nisifanye ni kutoa chozi langu mbele ya mke au mchumba,iwe kwenye mapenzi,msibani n.k, ni heri kama chozi limekushika utafute sehemu ujibanze ulieeee ila ukirudi upo ngangari
Nakuthalimu[emoji2]Thamani ya kitu siku zote inajulikana kikiondoka... Ruge umekaa na zamaradi kutwa kucha kukitembeza ndo ukome. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haswaaaa mkuu hujakoseaSamahani mkuu huyu unaemzungumzia ni baba yako....
aliyekuwa akipiga P...maza zako?