Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Sio kweli...unasema RUGE alikuwa anatombesha mbele ya zamaradi..means Zamaradi ni BOXA ya RUGE au kwamba kila anapoenda RUGE na ZAMARADI yupo...? au ni utamaduni gani wa MWANAMKE kushindana KUGEGEDWA na MWANAUME?siku zote ifahamike kuwa mwanaume aliyekutolea posa ni nusu mume tayari....na pia suala la ZAMARADI kuolewa kama lingeanza kuzungumziwa kwenye family wala RUGE asingetoa machozi...ninavyojuwa mm barua ya posa haipokelewi hadi mtoa posa wa mwanzo aulizwe mipango yake na mke mtarajiwa....je Ruge aliitwa? akaambiwa kuna mtu anataka kuoa? na kama aliitwa alipewa nafasi gani? huyo zamaradi ni KAHUNI HAKO kabaonyesha dhahihi Ukiangalia KADOMO KAKE..NI KAHUNI HAKO....kamenogewa na hyo MESSION TOWN...Analeta visingizio......atajutia maamuzi yake..kuna siku tutashuhudia anadai matunzo ya watoto wake humu...na majuto mengine mengi tu...au aliposikia huyo mesdion town ni family ya MAJAALIWA ndy imemchanganya?
We mat....k.. nn matunzo ya watoto wako unataka nani akulipie hata kama umeachana mama na yao,go back to school ass hole.
 
Japo simsikii vizuri lakini mpaka nimemuonea huruma huyu mzee wa fursa
 
Vitu vinavyosumbua dunia... Kuleta chuki, uhasama na hata watu kukaliana mbali mbali...

Ni wanawake na pesa...


Cc: mahondaw
 
Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa Cloud FM anayeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anayesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Je, anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake. Wataalamu wa sheria mtusaidie.

My Take:
Nimeamini mapenzi yana nguvu, kwa jinsi jamaa alivyokuwa analia basi huyo dada anaonekana mtamu sana. Wanaume pia tuwe makini, tuache michepuko hawa wanawake wamekuwa makatili sana nowadays.


Hili ni fundisho kwa vijana/wanaume umezaa mtoto wa kwanza, mwanamke anakwambia tuoane unazubaa, mtoto wa pili wala huonyeshi dalili ni vizuri kujifunza yeye alikuwa na kizuizi gani cha kutomuoa?!?!
 
Huyu jamaa ni genius kwenye entertaiment ila huku kaprove ni KIAZI. Ain't man suppose to cry
 
Back
Top Bottom