Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

We mat....k.. nn matunzo ya watoto wako unataka nani akulipie hata kama umeachana mama na yao,go back to school ass hole.
 
Hapo ndio unagundua HAMNA UHURU WA HABARI, bali UHURU WA MWENYE MITAMBO NA MWENYE MALI, Soudybrown na Shilawadu yake wote kimya
Hao SHILAWADU washaambiwa wakizidi kusambaza uzushi voice note nyingine inaachiwa bora watulie tu.
 
Japo simsikii vizuri lakini mpaka nimemuonea huruma huyu mzee wa fursa
 
Vitu vinavyosumbua dunia... Kuleta chuki, uhasama na hata watu kukaliana mbali mbali...

Ni wanawake na pesa...


Cc: mahondaw
 
Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai, or so I think
 
Hili ni fundisho kwa vijana/wanaume umezaa mtoto wa kwanza, mwanamke anakwambia tuoane unazubaa, mtoto wa pili wala huonyeshi dalili ni vizuri kujifunza yeye alikuwa na kizuizi gani cha kutomuoa?!?!
 
Huyu jamaa ni genius kwenye entertaiment ila huku kaprove ni KIAZI. Ain't man suppose to cry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…