Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Hana haki kwakua wanaume huwa hawalii angekua mtoto sawaaaa,na cjui ata kinacho mliza ni nn au ni ile line ya bei rahisi nn
 
Well Siwez kufaham kwann jamaa alilia may b kuna kitu alijua hatakipata kwingine kirahis.(“may be” who knows? no one exept ruge himself)

Jamaa kama mwanaume hakufaa kulia hata kidogo (kwamtazamo wangu).
Naweza nikatolea mfano familia yangu .

Mnamo mwaka 2005 Mama aliondoka nyumbani na baba alikua akimshauri arudi( “si kwakulia ” usibishe coz me ndo najua.) nafaham alimshauri arudi si kwakumpenda saana bali kwakutambua kua watoto wake (sisi wa 3) tutakosa malez bora na yeye alikua mtu wakwenda dukan asubuh na kurud jion na sisi ndo tulikua primary wote wa3 lkn mama aligoma kurud may be nae alitaka aliliwe( “who knows”? no one exept my mom)

Basi baba aliamua kutulea bila kuoa mwanamke mwingine mpaka leo hii wote watatu tupo vyuo vikuu alikua akirudi mchana kutupikia hadi tulipo fika sekondari wote akatupeleka boarding kila mmoja.
NB: kwa tetesi nazoziskia mtaani ana tembeza rungu c kitoto [emoji23] lkn sijawai muona analeta mwanamke nyumbani ss tukiwepo.

kama mwanaume bwana rugea ali faa kuangalia mbele kuwalea watoto na sio kumlilia mwanadam “Note from my father

1: usije kaa ukamlimlilia mwanadamu hasa mwanamke (ilhali wanawake wapo wengi duniani na wanahitaj wanaume ni warembo na nizaid ya wife matirial so Y ujiumize kulilia kiumbe kinacho kuny* .Nenda kamlilie Mungu wako kansani au lilia pesa sio Mwanamke. ( nimtazamo wake so don’t quote me wrong)

2: wanawake wengi “si” wote wana nature moja (“wanda penda kunyenyekewa na huwa n wastaarabu sana pind hawakujui vizur lkn pale mnapokuwa mmesha vulishana nguo na amekujua in and out na udhaifu wako kasha utambua heshima hushuka kabsa na atatumia io gap kukutesa( so mwanaume usipende mwanamke ajue udhaifuwako kama Zama aLivo jua udhaifu wajamaa nakutumia upenyo huo kumtesa jamaa) . Na “nimtazamo wake so don’t quote me wrong)”

3:Ni marachache sana kupata Mwanamke mnaeendana akili so kuwamakini sana katika kutafta mke (“kosea yote usikosee kuoa”).

kUna hitkad nyingi sana alizonazo mze wangu siwekuzimaliza zote lkn hakuwahi kumlilia mtu. Zimenijenga had leo hi hata nikitongoza mtu akaniletea maringo na pighachin na vuta kitu kingme na haina haja ya kubembelezana katika dunia hii.

Note: from my fanther “ Bembeleza pesa sio mapenzi”

siwez ongelea sana au ni m blame jamaa(Ruge)kwa nm kamlilia mwanamke kwasanab sijaingi kwenye ndo ma sijui siri iliyopo kwenye ndoa but na sio kama sijawah kupenda nilisha wahi kupenda saana na nika tendwa lkn sikumbembeleza mtu wala kulia walakuumia wala nn nili pigachin nika vuta kitu mpya tena rafikiake wa karibu [emoji23]‍♂️‍♂️‍♂️ na baadae nae nikaipiga chin (“maisha ni mwendo wa kupigana chini tu hakuna kuliliana” ) na badaee ka dem kakarud kenyewe nikaripiza kisas cha kukatenda. ili kahisi nilocho kihis mm kipind kile kana niletea nyodo mpaka leo yule dem haamin kama mm ndo nilokua nampenda kiac kile.

Kichwan niliaha jiwekea itikad hii

“kama mama yangu alie nileta duniani aliniacha na cikuumia bas hakuna mwanadam atakuja niacha nika umia kamwee coz hakuna mtu niliependa kuish nae kama mama angu”

but ni mzazi na na mpendasan mama angu japokua aliniacha mdogo siwez jua may b walishindwana tabia na mmewake so tahts non of my bussness.

pia zamaradi atambue anacho kifanya kina madhara makubwa sanaa kwa watoto wake na hatayaona hayo madhara leo nafaham sababu nimepitia malez ya mzaz mmoja.
tamaaza mwilo zitaharib future ya watoto kabsaa kama ruge asipo kuja kuwachukua watoto na kuwalea pekake [emoji818]️



nitenda[emoji23].ngoja nishie hapo.
 

Maneno yako yanajionesha kabisa kuwa ulipitia malezi ya single father.Tena kama baba ni mkulya si mchezo.
 
Hili ni fundisho kwa vijana/wanaume umezaa mtoto wa kwanza, mwanamke anakwambia tuoane unazubaa, mtoto wa pili wala huonyeshi dalili ni vizuri kujifunza yeye alikuwa na kizuizi gani cha kutomuoa?!?!
Sio kila mwanamke wakuolewa,huyo alifuata mshiko ndio mana akazaa fastafasta ateke kambi....hpo clouds ruge katembea na wangapi asizae nao.
Huko alipoenda ndio haki yke kwani kazalishwa sio lazma nioe
 
Post ndefu.. Kumbe umeathirika kisaikolojia mkuu... Sahau LA mama kwanza kuwatekeleza
 
Maneno yako yanajionesha kabisa kuwa ulipitia malezi ya single father.Tena kama baba ni mkulya si mchezo.

Baba nimkurya chifu huajakosea na nimepitia malezi single[emoji818]️
 
Post ndefu.. Kumbe umeathirika kisaikolojia mkuu... Sahau LA mama kwanza kuwatekeleza

na ndo maana nikasema Zamaradi natafuta kuathiri saikolojia ya watoto wake chifu mi nafaham nimeathirika kisaikolojia maana natabia ya kuwachukia wadada ovyo naona kama niki mtongoza mwanamke najendekeza kwa sababu akilinikwangu nimejengewa kutambua kuwa wanawake wote ni wasaliti kitu kisicho cha kweli kbsa kitu nisicho kipenda kabisa lkn najitaid kuji control sana na sijawahi kumwonyesha mtu chuki waladharau.

nisha sahau na naongea na mama daily kwenye cmu.
 
Wanawake ni viumbe wasiotabirika kwa hiyo ukikaa naye kaa kwa machale tu!Usipende demu mmoja tu kwani kawa mama yako huyo?Akiondoka mmoja weka kitu kingine kibichi!Hivi we una hela mwanamke kajitoa mwenyewe unawezaje kumlilia?Hivi watu wengine mbona hawazionagi fursa?Akikaa single hivyo at a enjoy life mno na baadae atajiona mjinga sana akisikiza sauti ya kilio chake
 
Sio kila mwanamke wakuolewa,huyo alifuata mshiko ndio mana akazaa fastafasta ateke kambi....hpo clouds ruge katembea na wangapi asizae nao.
Huko alipoenda ndio haki yke kwani kazalishwa sio lazma nioe
Sasa Ruge analialia nini? Amwache aendelee na maisha yake. Kampata aliyeona anafaa kwa kuolewa!
 
You see her close your eyes , may be one day you'll understand why,
Everything you touch surely dies (ooh baby)
Staring at the bottom of your glass, hoping one day you'll make dreams last,
but dreams come slow and they go so fast.
 
inaeleka katoto kalikuwa kanatema maji,akikumbuka kuyakosa roho inauma
 
Hana haki zozote pimbi huyu kunwa zima linalilia maku
 
Huyu Ruge alikuwa kalewa chakari hajielewi. Sio kwa kilio hicho.
Hivi kumbe huwaga mkilewa mnaliaga enh!!
Ila mm nina theory yangu kwamba mtu asemalo akiwa amelewa ni kitu ambacho alikuwa anataka kukisema toka mwanzo akiwa sober ila tuu anatumia pombe kama influencer
 
[emoji2][emoji2]ama kweli power of the pu$$ÿ
 
You see her close your eyes , may be one day you'll understand why,
Everything you touch surely dies (ooh baby)
( OMG )

But you only need the light when it's burning low, only miss the sun when it start to snow, only know you love her when you let her go.....

[emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…