Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh kwa mbunye zilivyokua nyingi unalia,huyo mlangira atakua boya watu wanaachana watoto 7 hawalii sembuse yeye wawili tena wa hawaraWakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss ruge wa clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpz wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa cloud fm anaeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anaesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh waziri mkuu kassim majariwa, je anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake, wataalamu wa sheria mtusaidie,
Mytake:nimeamini mapenz yana nguvu kwa jinsi jamaa alivyokua analia huyo dada anaonekana mtamu sana ,wanaume pia tuwe makini tuache michepuko hawa wanawake wamekua makatili sana now days
Fursa zimedoda ndio analia au mana simuelewiHebu naomba namie audio nisikie
naomba nitumie hyo audioNimeshindwa kumsikiliza hadi mwisho, ni upumbavu mwanaume kulia lia kijinga kiasi hicho..
Aanzie sokoni..Si mzee wa fursa atafute fursa ya kupata mwingine aache mbna bidhaa zipo nyingi sokoni
Fungua hiyo video uliponiquote...naomba nitumie hyo audio
Akienda court hiyo sauti tunaenda kutengenezea chorusNavyomfahamu ruge... Na kwa jinsi wahaya wanavyopenda kesi..! Baada ya week moja tutakuja sikia RUGE AMBURUTA ZAMA MAHAKAMANI..! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]