Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Niliacha kuishi maisha yangu pale nilipopata mtoto wa kwanza. Hapo ndipo ubinafsi wa kutaka nitakayo uliniondoka. Nikaanza kuishi kama role model, rafiki, mzazi, mume, jirani, mtoto, mwalimu, muumini. Yote haya niliyafanya kwa ajili ya familia kwa lengo la kuwatengenezea nyayo za kufuata, kumbukumbu na tabia za kuziishi pamoja mbinu za kimaisha.
Yeah kuna nyakati una lazimika kuwa yeyote positive yule katika maisha. Ila hili la kulia ni ukenge wa viwango vya urais (juu sana)
 
hii clip kila nikiisikiliza nacheka sana kwa huzuni halafu nagundua kwamba chanzo cha ugonjwa wa Ruge kimeanzia mbali,kwani hata pressure ikizidi sana hupelekea figo kufeli....Love is a dangerous poison it can kill either fast or slowly!! iam sure Zamarad regrets alot coz yeye pia ni chanzo cha ugonjwa wa huyu jamaa
 
ACR hizi ni utata mtupu. Siku hizi ukiongea na mtu smartphone hasa watu wa kidijitali, jua anakurekodi kila kitu uongeacho ktk simu.
 
Hebu ngoja, was it for real au drama tu?! Watu tunajuwa kujiliza bhana, sasa ole wako ole wako udhani kila kilio ni sawa na kilio cha mama kwa mwanae wa pekee!! Kwanza kama mimi sipendi kuachwa ambapo sikuwa tayari kuachwa na kwahiyo nikiachwa lazima nilie! Sasa ole wako udanganyike na kilio changu manake hiyo ndiyo njia pekee ya kukurudisha ili hatimae nikuache mimi!!!
 

Ruge alijasahau sana na kuwanyanyasa wasanii kadhaa nadhani muhanga mkuu ni Jiide bint machozi....huyu muhaya mwenzangu bure kabsaaa alimfilis ata Dada yetu Saida Karoli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…