Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mzee usifikiri Al hilal ni wajinga kuwaacha Yanga mfunguke vile... Walifanya vile kwa makusudi...Waliwaheshimu ili mfunguke...Yanga siwadai wamepambana sometimes mpira bahati na bahati haikuwa kwao.
huko shirikisho ndio kugumu zaidi...Kama yanga wataingia makundi shirikisho waende kutafuta beki 4 na 5 waache ujinga mwamunyeto sio beki wa kucheza Yanga!!
Habari waungwana
NDIO AMEONDOLEWA TENA!!! Huyu si mwingine ni dar young africans, hakika hata kipenzi chetu Mwl. JK NYERERE anaweza kushtushwa na taarifa hizi huko alipo, huku akijiuliza "wanashida gani hasa!!??"
Hali kadhalika swali la wengi ni kwa nini kila siku aondoshwe yeye!!? Je, ana laana fulani inayomtafuna? Je hana kiwango!? Je, karogwa kwa kuwekewa zindiko na kunuiziwa kutotoboa kimataifa!!?? Mwisho wa siku klabu hiyo inakosa majibu.
Wakati huo majirani zao wanazidi kujenga heshima kimataifa na umaarufu na kujengeka kibiashara, leo hii michuano ya kimataifa imepelekea Simba kufahamika duniani, kuwa na wafuasi wengi mitandaoni, kufanya mauzo ya jezi nyingi nje ya nchi, kutengeneza mashabiki wengi nje ya NCHI. Na kuipa heshima NCHI.
Masikini muda huo wenzao Yanga wanafurahia mafanikio yao ya ndani na ya muda mfupi kwa viongozi wao wasio na tija na malengo.Kwani leo hii hata Twitter haifahamu kuwa YANGA ni klabu ya soka!! What a shame!!
Kuna jamaa yangu alienda misri akaulizia kuhusu SIMBA SC, hakuamini kwani watu wengi walionyesha kuipenda na kuifahamu vizuri ikiwemo na wachezaji wake, cha kusikitisha wengi wao walimshangaa alipoulizia kuhusu YANGA.
Kiukweli nawapa pole sana Yanga kwa hili janga linalowasibu masikini, nahisi sasa ni muda sahihi wa wao kufanya mabadiliko ya klabu yao kwani hawajachelewa
Na hakika nimeamini mkubwa ni mkubwa siku zote na rekodi zina nafasi yake kwenye mpira, kwani kuvunja rekodi si kitu rahisi. Yanga hana rekodi ligi ya mabingwa Africa na hilo ameendelea kudhihirisha
Kama kurogwa, basi aliyemroga Yanga ana kesi ya kujibu kwa Mungu, na kama wana laana na michuano ya kimataifa basi nawaamuru haraka watubu laana yao kwani itaendelea kuwatafuna.
Namaliza uzi kwa kusema siku zote mzoea vya udalali vya duka haviwezi, na ngoma ikilia sana ujue yaelekea kupasukaView attachment 2389543
Kmmk zao yani walinikera mno wakt mchezo mzima nilimpelek puta Kaz kuanguka anguka kmmmk zao na hawatafika mbaliMipira ya kuchezeshwa dk 70 na wachezaji Wana anguka kama Wana degedege. Soka la Afini ngumu kupiga hatua.
Hpn mkuu bujibuji nakupinga leo Ni hati hati tu na kuto kuwa makini na game za kwanzaMwenge hauvuki mipaka
Acha hzo Simba kwani leo mlicheza Moira ganiUKIACHANA NA WALE MATAPELI WA TUMA HELA KWENYE NAMBA HII MATAPELI WENGINE NI YANGA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Experience, tactics na knowledge nd vimeivusha Simba ScAcha hzo Simba kwani leo mlicheza Moira gani
HahahhahaTunasafirisha au tuzike huko huko?
Sasa mkuu kwa Sasa beki watampata ambae hajaitumikia timu yake????Yanga siwadai wamepambana sometimes mpira bahati na bahati haikuwa kwao.
Kama yanga wataingia makundi shirikisho waende kutafuta beki 4 na 5 waache ujinga mwamunyeto sio beki wa kucheza Yanga!!!
Yanga wamepambana kama Azam?Yanga siwadai wamepambana sometimes mpira bahati na bahati haikuwa kwao.
Kama yanga wataingia makundi shirikisho waende kutafuta beki 4 na 5 waache ujinga mwamunyeto sio beki wa kucheza Yanga!!!
Nakubali mdauMzee usifikiri Al hilal ni wajinga kuwaacha Yanga mfunguke vile... Walifanya vile kwa makusudi...Waliwaheshimu ili mfunguke...
Mafungu!!?? [emoji16][emoji16][emoji16] acha zako mkuuMadhara ya kutegemea wachezaji wa mafungu.. usitegemee kushindana kimataifa akati unategemea wachezaji wa kuokota bure
Kwani uwongo mkuu???.... bigirimana na aziz ki mmewasajili kwa pesa ngapi?Mafungu!!?? [emoji16][emoji16][emoji16] acha zako mkuu
Kiasi kikubwa cha pesa! Lakini hakuna la maana wanalofanyaKwani uwongo mkuu???.... bigirimana na aziz ki mmewasajili kwa pesa ngapi?
Ndo maana ulitakiwa ushinde mechi ya nyumbanKmmk zao yani walinikera mno wakt mchezo mzima nilimpelek puta Kaz kuanguka anguka kmmmk zao na hawatafika mbali