Hakika aliyeiroga Yanga ana la kujibu kwa Mungu

Hakika aliyeiroga Yanga ana la kujibu kwa Mungu

Kwanza wamekutana na timu mbovu ajabu
Habari waungwana

NDIO AMEONDOLEWA TENA!!! Huyu si mwingine ni dar young africans, hakika hata kipenzi chetu Mwl. JK NYERERE anaweza kushtushwa na taarifa hizi huko alipo, huku akijiuliza "wanashida gani hasa!!??"
Hali kadhalika swali la wengi ni kwa nini kila siku aondoshwe yeye!!? Je, ana laana fulani inayomtafuna? Je hana kiwango!? Je, karogwa kwa kuwekewa zindiko na kunuiziwa kutotoboa kimataifa!!?? Mwisho wa siku klabu hiyo inakosa majibu.

Wakati huo majirani zao wanazidi kujenga heshima kimataifa na umaarufu na kujengeka kibiashara, leo hii michuano ya kimataifa imepelekea Simba kufahamika duniani, kuwa na wafuasi wengi mitandaoni, kufanya mauzo ya jezi nyingi nje ya nchi, kutengeneza mashabiki wengi nje ya NCHI. Na kuipa heshima NCHI.

Masikini muda huo wenzao Yanga wanafurahia mafanikio yao ya ndani na ya muda mfupi kwa viongozi wao wasio na tija na malengo.Kwani leo hii hata Twitter haifahamu kuwa YANGA ni klabu ya soka!! What a shame!!

Kuna jamaa yangu alienda misri akaulizia kuhusu SIMBA SC, hakuamini kwani watu wengi walionyesha kuipenda na kuifahamu vizuri ikiwemo na wachezaji wake, cha kusikitisha wengi wao walimshangaa alipoulizia kuhusu YANGA.

Kiukweli nawapa pole sana Yanga kwa hili janga linalowasibu masikini, nahisi sasa ni muda sahihi wa wao kufanya mabadiliko ya klabu yao kwani hawajachelewa

Na hakika nimeamini mkubwa ni mkubwa siku zote na rekodi zina nafasi yake kwenye mpira, kwani kuvunja rekodi si kitu rahisi. Yanga hana rekodi ligi ya mabingwa Africa na hilo ameendelea kudhihirisha

Kama kurogwa, basi aliyemroga Yanga ana kesi ya kujibu kwa Mungu, na kama wana laana na michuano ya kimataifa basi nawaamuru haraka watubu laana yao kwani itaendelea kuwatafuna.

Namaliza uzi kwa kusema siku zote mzoea vya udalali vya duka haviwezi, na ngoma ikilia sana ujue yaelekea kupasukaView attachment 2389543
 
Mipira ya kuchezeshwa dk 70 na wachezaji Wana anguka kama Wana degedege. Soka la Afini ngumu kupiga hatua.
Kmmk zao yani walinikera mno wakt mchezo mzima nilimpelek puta Kaz kuanguka anguka kmmmk zao na hawatafika mbali
 
UKIACHANA NA WALE MATAPELI WA TUMA HELA KWENYE NAMBA HII MATAPELI WENGINE NI YANGA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Acha hzo Simba kwani leo mlicheza Moira gani
 
Yanga siwadai wamepambana sometimes mpira bahati na bahati haikuwa kwao.

Kama yanga wataingia makundi shirikisho waende kutafuta beki 4 na 5 waache ujinga mwamunyeto sio beki wa kucheza Yanga!!!
Sasa mkuu kwa Sasa beki watampata ambae hajaitumikia timu yake????
 
Madhara ya kutegemea wachezaji wa mafungu.. usitegemee kushindana kimataifa akati unategemea wachezaji wa kuokota bure
 
Yanga siwadai wamepambana sometimes mpira bahati na bahati haikuwa kwao.

Kama yanga wataingia makundi shirikisho waende kutafuta beki 4 na 5 waache ujinga mwamunyeto sio beki wa kucheza Yanga!!!
Yanga wamepambana kama Azam?
 
Mzee usifikiri Al hilal ni wajinga kuwaacha Yanga mfunguke vile... Walifanya vile kwa makusudi...Waliwaheshimu ili mfunguke...
Nakubali mdau

Zile dakika kumi za mwisho jamaa walishambulia balaa mpaka kupata bao la offside pale ndio nikagundua jamaa walikua wanacheza kwa malengo
 
Back
Top Bottom