Hakika CHADEMA tumepitia mateso makuu mpaka sasa

Hakika CHADEMA tumepitia mateso makuu mpaka sasa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Baadhi ya viongozi wenye maamuzi wanadhani hii nchi ni mali ya CCM.

Hii nchi ni mali ya Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama ndiyo maana wakati wa kulipa kodi tunalipa wote bila kujali itikadi.

Mojawapo ya matukio yaliyosikitisha ni jinsi Mh Lema alivyofanyiwa ukatili akiwa kwenye kikao halali cha chama cha ndani.

Hii ni jambo ambalo linazifanya siasa za upinzani nchini kwetu kuwa ngumu zaidi.

Hongereni sana wana CHADEMA ambao hadi sasa tupo bado na imani na cdm pamoja na mateso yote haya.

 
2183704_IMG_1183.jpg
 
Heri ya MAKABURU kwa kweli, yaani ni ukoloni wa mkoloni mweusi.

CCM ni LAANAKUM.
 
Back
Top Bottom