Hakika chama anatokesea Wana Yanga

Hakika chama anatokesea Wana Yanga

CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM

Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo

Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration na Ukurasa wa Yanga na watu wengine ambazo kimsingi sio yeye alipost

Ajabu ni kwamba Chama amefuta hadi zile picha za utambulisho wake hapo Yanga ila kabakisha ile Post yake ya kuwaaga wanasimba

Chama hadi leo hajawahi kufuta post yoyote akiwa na Jezi ya Simba pamoja na kwamba alishaondoka Simba

Huenda Chama ameamua tu kupunguza picha zake Instagram yake imejaa labda

Vipi wanasimba mtampokea au ndio mnakaza vichwa ?

Chanzo mwanasport
Mnataka kusemea binafsi ya chama!
 
Hichi ndiyo mnachokitaka. Subiri tarehe 8 chama atakavo safisha kabisa.
 
Simba ni club inayoendeshwa in professional way, hawezi kurudi pale, angekua ni mchezaji wa yanga ndo kaenda simba ingewezekana kurudi yanga ila kwa simba huwa hawarudi nyuma
 
Back
Top Bottom