Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Aisee hizi post mnazozianzisha humu Lumumba nafikiri hata nyie uwa mnajicheka
Simetimes huwa nawaza sana,kuwa ina maana nchi ina watu kibao wana ubongo "topetope" hivi.
Yani unafungua ukiamini labda kuna vitu haujawahi kudhania,mwishowe unakuja kukuta "mauji uji" tu hayana ladha😃😃😃.
 
Hakuna kitu hicho chama cha kusifiana ty na ubabe mwingi,wala watu hawakikubali
 
Yaani huwa nikifikiria ule uhuni uliofanyika katika zile chaguzi ndogo - kweli CCM hamna kitu kabisa.
 
CCM chma la hovyoo!
 
Yaani huwa nikifikiria ule uhuni uliofanyika katika zile chaguzi ndogo - kweli CCM hamna kitu kabisa.
Wote ni Mateka check walivonyeshewa mvua Hadi wanalia.
Wakimaliza kuwashughulikia wapinzani watakugeukieni.Leo maccm yanashughulikiwa kweli kweli.
 
Jaribu kuikosoa CCM na viongozi wake uone moto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…