Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Mimi nadhani chama hicho kipo kwenye vyoo vya watu au matank ya maji taka na sio mioyoni
 
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.

Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.

Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar

Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Naunga mkono hoja.
 
Hata madictator kama kina Hitler, Mussolini, Iddy Amin nk walikuwa wanazungumziwa sana. Kisia ilikuwa wanazungumziwa nini.
Hapo ndipo uwezo wako wa kujibu hoja huwa unaonekana hovyo. Nchi ya kidikteta hutwaliwa kwa amri za rais. Hapa Tanzania rais anatawala kwa mujibu wa katiba na sheria. Kama hii nchi ingekuwa ya kidiketa usingekuwa unatoa maoni yako wewe tindo aka minyoo
 
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.

Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.

Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar

Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Mkuu umepitia National service na chuo cha chama Kivukoni?Kama huna si bora kuzungumza.
 
Hapo ndipo uwezo wako wa kujibu hoja huwa unaonekana hovyo. Nchi ya kidikteta hutwaliwa kwa amri za rais. Hapa Tanzania rais anatawala kwa mujibu wa katiba na sheria. Kama hii nchi ingekuwa ya kidiketa usingekuwa unatoa maoni yako wewe tindo aka minyoo

Magufuli hana sifa ya kutawala kwa kuzingatia katiba, na hatakaa ajali katiba. Maoni natolea huku uchochoroni na sio kwenye platform rasmi. Zile platform rasmi za kutolea maoni zilioondoka na JK, maana alikuwa anajali demokrasia na katiba kwa kiwango fulani.
 
Jf ni platform rasmi usitake kuruka viunzi. Ndio maana mambo mengi yanayowekwa humu serikali inayafuatilia.
 
Serekali inafuatilia kama wajibu wao, na wala sio kwamba inakubaliana sana na hii mitandao. Tatizo ni kwamba wanajua hata wakifunga mtandao kama huu, bado technology inaturuhusu kukutana pengine na tukaendelea kutoa maoni yetu. Uhuru uliopo humu ni kwakuwa serikali haina uwezo wa kuidhibiti, vinginevyo ingeifunga.
 
Unachanganya mambo. Matumizi sahihi ya mitandao ndio jambo la msingi. Ndio maana hata bil 8 mlizotafuna ziliibuluwa humuhumu Jf. Kwa hiyo serikali inataka wananchi watumie mitandao vyema.
 
Leo bundle limekata dadeeeki

Back
Top Bottom