Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Naona sasa wanafuatilia kura za maoni za ubunge cha ajabu ufipa wanashangilia ushindi wa msindi wa kigamboni mtu wao kashinda!
 
Leo tena nchi imesimama kwa muda kila mmoja hataki kukosa kila tukio wengine wamediriki kubeba mawe kama kuna mtu atapiga kelele ayavurumishe nadokezwa hapa huyu mtu anaitwa Mmawia!
IMG_20200816_103611.jpg
 
Yes, indeed. Hapa Mbeya Mjini huwaambii kitu juu ya CCM. Dr. Tulia (2020-2035)
 
Back
Top Bottom