kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #161
Unazungumzia kampuni ya mtei!Kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi Hadi kuwa kampuni binafsi.Hii ni evolution.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia kampuni ya mtei!Kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi Hadi kuwa kampuni binafsi.Hii ni evolution.
Utapata maradhi bure kwa kukosa raha!CCM chma la hovyoo!
KimaHujitambui
Polisi wanatumwa wamekuwa majini!!
Labda wanatumwa kule kwenu kwa Mungiki
MonkeyWahuni wa ufipa hao kwani nani hakumbuki matukio yenu ya kutengeneza mlizika mbwa bila aibu kutaka kuhalalisha upuuzi tu!
raha iko chadema wewe mbona unayo maradhi ya kutosha pamoja na li ccm lakoUtapata maradhi bure kwa kukosa raha!
Hapana ni Ile inayodumisha mawazo ya mwenyekiti.Jibu ni moja tu ndio zidumu fikra za mwenyekitiUnazungumzia kampuni ya mtei!
Huyu ni Mmawia alikutwa kwenye mkutano wa Lissu huko mwembetogwa baada ya kupiga ulanzi wake!Vipi Chakubanga kasha kupatia ka jero angalau nawe uonekane jf?
Kwa sababu wana fujoSasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??