kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #81
Watapata tabu saana!Tumejipanga mwaka huu wataisoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watapata tabu saana!Tumejipanga mwaka huu wataisoma
Hivi wewe huwa unajihesabu una akili kweli? Mbona uko hivyo? Au huo motochini ni kwenye mbunye yako? Basi haya!
Aisee! Kweli Chatle kuna limbwata zaidi ya la Bagamoyo au Sumbawanga! Yaani mkalishwa matango hadi mmekolea!
Haya huko Madagascar mnakotegemea mambo moto!
Akili za matandu maharage eti zinajadili mkakati!Siku ccm waliondolewa magogoni itabidi walipe gharama zote
Wewe usamehewe tu sio akili zako!Mkuu huyo ni mwana Mwandiga ni mzee tu kiumri lkn bado utamkuta pale lumumba na kigazeti cha uhuru na mzalendo.
Basi karirini jambo jipya watu wapo kwenye usultan wa mbowe!Hakuna chochote, bila polis hakuna ccm.
Wenzio wametia nia na fomu za uraisi wamechukua wewe wamekuachia maneno matupu!Mkuu bila kuwa na tume huru ya uchaguzi hatuwezi kuwa na moral justice ya kuliongelea hili. Mi nashauri tuwape wapinzani hiyo tume huru wanayoihitaji ili tuweze kutembea kifua mbele kwa furaha na kuliongea hili ulilolisema bila kupepesa macho.
Ama kwa hakika umenena!Ccm ni chama dola , lazima tuijadili.
Utaelewa tu bila viboko!Mataga hueleweki hata
Wewe usamehewe tu sio akili zako!
Unadhihirisha ubovu wa kichwa chako!kipara kipya unadhani ukiwa hapa jf na I'd fake ndiyo hatuwajuhi huko mitaani mnaitwa kina nani?
Wewe ulijihesabu na nani!!
Mwenye Akili anajihesabu !!
Mwenye Akili anaweza ongozwa na ZERO DJ!!
WW unaakili wapi uliona Akili ndogo kuongoza Akili kubwa!!
Jitambue kibendera Fuata upepo
Unadhihirisha ubovu wa kichwa chako!
Usiache nikacheka kwa sauti!Ukweli ndiyo huo, hata wewe jina lako tunalo linaanza na Masishanga
Utaelewa tu bila viboko!
Ama kwa hakika umenena!
Hapa limited wewe jumapili ya leo vijana wanafunga majembe mapya kwenye tinga sasa wewe kaa hivyo hivyo mbowe hajatoa posho mwezi wa kumi sasa!Naona leo kale kaposho ulikolipwa jana dodoma baada ya kucheza ngoma ya gobogobo ukumbini ndiyo kanakutia jeuri ya bundle
Basi karirini jambo jipya watu wapo kwenye usultan wa mbowe!
Akili za matandu maharage eti zinajadili mkakati!